Recent content by huggies

  1. H

    Sehemu za biashara Mlimani City, Dar Free market - zinakodishwaje?

    Mambo vipi? Hivi frames kwenye hizi malls zetu hapa Bongo wanalipiaje bei zao kwa mtu mwenye ufahamu am planning to have a small ice cream shop.
  2. H

    Miche ya strawberry

    Natafuta miche ya strawberry niko dar es salaam
  3. H

    Miche ya strawberry

    Natafuta miche ya strawberry niko Dar es salaam
  4. H

    Baada ya kumkataa mtoto eti sasa tuonane

    Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipomtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia. Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimeshazoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na...
  5. H

    Biashara ya baby diapers/ pampers almaarufu

    Eti nina idea ya kuanza biashara hiyo hapa bongo naagiza toka china na brand ina kua yangu plus jina pia naomba ushauri je ntafanikiwa kwa hapa tanzania au niache tu nisije ingia hasara.. Msaada jamani
  6. H

    Jamaa anataka kupima DNA na mtoto

    Nina miaka 24 na diploma in aviation studies.
  7. H

    Jamaa anataka kupima DNA na mtoto

    Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
  8. H

    Jamaa anataka kupima DNA na mtoto

    Wala siku chepuka sijui kwa nini ina ni touch hata mimi najishangaa infact i think i like the idea of being a single mom.
  9. H

    Jamaa anataka kupima DNA na mtoto

    No am so careful na mtoto she is ok na maziwa yana toka sana kiasi kwamba mtoto akiwa kalala mda mrefu yana ni mwagikia.
  10. H

    Jamaa anataka kupima DNA na mtoto

    Nimerudi tena. Yule baba wa mtoto anataka dna alfu kumbe ana mtoto mwingine nimechanganyikiwa.
  11. H

    I dont want it

    kitu gani?
  12. H

    I dont want it

    Je niende kwa mama yake ajue kua ana mjukuu??kwa taarifa tu.
  13. H

    I dont want it

    Hahaha i like u..
  14. H

    I dont want it

    Nimeweza ila kwa sasa kame lala
  15. H

    I dont want it

    Acha tu
Back
Top Bottom