Recent content by hudson88

  1. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Tufanye Mungu hayupo, sasa nieleze kwa nini wewe upo duniani. Nini lengo la uwepo wako?
  2. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Kuthibitisha Uwepo wa Mungu inabidi uachane na huo mwili, akili na hisia zako ndio utathibitisha uwepo wa mungu, kwa sababu mtu huwezi kujipa kitu kikubwa kuzidi uwezo wako
  3. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Swala la kuniambia niseme amen huo ni utumwa uliopitiliza kwa sababu niseme au nisiseme amen siongezi wala sipunguzi chochote kwa Mungu kwa sababu Mungu ni Ukamilifu. Mipaka maana yake unagawa kitu, umesema Mungu wa Eliya ambaye inawezekana akawa tofauti na mungu wa Raju, hapo umeweka mipaka mkuu
  4. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Wewe usiweke limit katika Mungu! Mungu hana Mipaka. God is not a person as you can think.
  5. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Unahitaji kutumia kitu zaidi ya akili ili kukuza ufahamu wako kuweza kuelewa what is God and what is not, kama upo Dar inabidi ufike Chang'ombe Maduka Mawili ili ufundishwe Meditation ni mbinu ambayo itakusaidia kukuza ufahamu wako kwa hatua mbalimbali na utaanza kuelewa vitu vilivyo zaidi ya...
  6. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Wewe unauhakika gani kwamba Mungu ameumba hivyo vitu vyote ulivyovitaja? Je ulikuwepo? Uliona? How do you prove it?
  7. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Kuthibitisha uwepo wa Mungu hiyo ni akili, na nimekueleza akili haiwezi kuelewa what is God, unahitaji kitu kikubwa zaidi ya akili ili kuwa na ufahamu wa juu kukuwezesha kutambua Mungu ni nini na hata wewe ni nani? Sio kwa kutumia akili.
  8. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Tatizo tunatumia akili zetu kutaka kuelewa au kuelezea Mungu ni nini wakati ni kitu kikubwa kuliko akili, kamwe akili haitatokea ikaelewa Mungu ni nini? Kwa sababu akili yenyewe imetokana na nini au chanzo chake ni nini?
  9. hudson88

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Hapo naona mnaleta contradiction (mkanganyiko) , kwanza tuelewe tunaposema Mungu ameumba kitu fulani , tunalenga nini? Yaani ni uumbaji wa namna gani? kwa sababu uumbwaji wa hewa ni tofauti na uumbwaji wa udongo. Hii itatusaidia kuwa na pointi ya kusimamia. Kwa uelewa wangu mimi ninaweza kusema...
  10. hudson88

    Naogopa kifo

    Kwa mungu hakuna muda sasa mungu anawezaje kupanga siku ya hukumu, wakati nje ya muda hakuna saa , siku wala juma au mwaka. Mungu hawezi kuumba kiumbe ili aje akihukumu ili hali yeye (Mungu) anajua weakness zote za kiumbe chake. Kwa hiyo Mungu kumhukumu kiumbe wake huyo ni kama haiwezekani ki-logic!
  11. hudson88

    Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

    Katika uhalisia,Hakuna kitu kama shetani,shetani ni istilahi... Binadamu anapokwepa wajibu wake ndio anasingizia shetani, kama kuna shetani basi ni binadamu mwenyewe! Kwa sababu vitu vibaya vyote wanamsingizia shetani wakati vitu vyote vimetokana na Mungu sasa nafasi ya shetani ni ipi?
Back
Top Bottom