chanzo cha aya mambo ni msingi mibovu ya kuajir watu wasowaaminifu kisa anaswal sana anapew ukuu,shule nying za private mising yao ktk kuajir haizingatii vitu vingi,ndo maana wanaajir watu wasowaaminifu.
Sijakataa issue ya connection kwny swala la kazi mana hata Mungu anasema atakutumia mtu wa...
Achiria mbali tofauti za duniani yaani kazi,mafanikio,vipawa na vingine vingi,lakini hakuna haliye mdogo maana sisi sote tunachapa ya kristo (MUNGU),kila wakati unaoupitia una kusudi kwenye maisha yako.Kher ya xmas na mwk mpya kw Rais na kwetu wote.MUNGU awe pamoja nasi kuelekea mwaka 2021.AHSANTE
Kurasimisha hawa mafundi vishoka sio wazo baya,lakini swali ni je wale ambao tayari wapo kwenye hii kazi ,ninafikiri Serkali itengeneze utaratibu wa kuwapa mafunzo walau hata miezi kadhaa kama jinsi ambavo watafanya kwa wale wanaotumia drones,na suala la ada liwe la kawaida ama wafundishwe bure...
Hata mimi huwa ninakasirika kwel kwl nkiona baadhi ya viongozi wa bara la Afrika wanagoma kubanduka madarakani,alafu utawasikia wakisema wao ni wafuasi wa baba wa taifa letu la Tanzania(Mwl.Nyerere).Na hii unilazimu kupitia falsafa za mwalimu na sijawahi kuona ni wapi alisema au aliamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.