Recent content by htmm

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mimi Watanzania wananipenda sana, tatizo hii Mitandao inapotosha na hii ni kazi ya kakikundi kadogo ka watu wabaya

    Kumbe kupiga kelele kwako kote humu na kujiona mjuaji kumbe ni chawa wa mwenyekiti !!! Bure kabisa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Makubi yupo Benjamin Mkapa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kuweka token za luku ni wa kijinga, duni na unaleta usumbufu

    Hii TANESCO wametangaza sana labda hukubatika kufikiwa na hii taarifa kama unavyozipata za siasa kwa wakati it's about interest ya habari.
  4. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Umeruka ruka Magufuli Magufuli kila mada walengwa wamekushitukia kumbe ni CCM kambi tofauti na Magufuli
  5. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Jamaa ameshindwa kuelewa kwamba viongozi wandamizi karibia wote wapo karibu sana na mama au yule jamaa mstaafu adui wao alikuwa mwendazake naona TAL ndiye kagoma kuelewa somo
  6. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Wote hao wawili ni marafiki wakubwa wa mama mmoja hadi siku ya kuzaliwa mwanaye aliudhuria,huyo mwingine kuna nyuzi humu zinamuomba ahamie huko.
  7. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    Mkuu stephano huyu Mzeru ana unasaba na Dr Mzeru mmbunge mstaafu?
  8. H

    JamiiForums Tanzania CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Ndio mkuu hayo ni mapato kama yalivyo mapato mengine.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Mkuu kuna chochote unapenyezewa ukianzisha nyuzi za huyu mwendazake?
  10. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Tindo usiwe na wasiwasi kamanda kwa maoni ya CHADEMA aliyewaibia uchaguzi ameshaenda zake ujao utakuwa huru na wa haki.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Mkuu machalii wana chuki Kali sana kwa jamaa,walianza na pambio mama alivyoingia mambo yanaenda alijojo wanatafuta chuki ziende kwa wasiye mpenda! Hii ni mbaya sana.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Vijana wa kaskazini mna vituko sana hadi hili la dola Bado ni Magufuli!!! Umejaribu kufuatilia na kujua ni nchi ngapi zimeathirika na kadhia hii.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya mume kutangulia kufa?

    Sasa huoni ndio utamuacha akiwa kijana zaidi!!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

    Tatizo lenu huyo mstaafu mmemfanya Mungu wenu, yaani mnataka kila mteule nchi hii akubalike na team yake,Hilo ni kosa kama mtu mmoja kujimikikisha nchi na watu wake wa karibu tu.
Back
Top Bottom