Kama ndio gari yako ya kwanza nashauri nunua Toyota Premio kwanza then ukishapata uzoefu wa magari baadae ndio utanunua Nissan Dualis. Ni hii kwasababu kuwa spare za Toyota Premio zipo nyingi sana na zinapatikana kwa bei nafuu kuliko Nissan Dualis japo tofauti yake ya gharama ya spare za magari...
Mimi natabiri kuwa Jaji akiamua tofauti na kinyume cha sheria Mh. Mbowe atasema sina imani na Jaji, hivyo naomba abadilishwe. Lengo ni kuonyesha kuwa hawa majaji wanafanya maamuzi kwa kuwasilikiza watu fulani badala ya kufuata sheria. Hivyo mahakama itakuwa ni kama vile inajiabisha yenyewe.
Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
Ni kweli vyama vyote vilikuwa vinadharau sana juu ya hili kwa kuchagua wagombea wenza incompetent. Ila kwa hili lililotokea naamini litakuwa no funzo tosha.
Lugha uliyotumia wala si ya kistaarabu. Kwani baya gani waliloongea hadi utukane? Hivi kwanini hampendi kusikia neno haki likitamkwa? Binadamu tuna shida kubwa sana.
Kwani CHADEMA ndio inaunda serikali? Ushauri wake ni mzuri kwakuwa mtu akishakuwa RAIS anakuwa ni wa wote na si RAIS wa CCM pekee. Hivyo huu ushauri alioutoa sidhani kama umekaa kinafiki isipokuwa tu umetolewa na mtu mwenye mlengo tofauti na CCM. Hiyo ndio shida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.