Habari wapendwa!
Karibuni mashuka kutoka Pakistan. Set moja inakua na shuka mbili na foronya nne. Shuka hizi ni kingsize, 100% cotton, hayachuji wala kuweka vipele. Yanapatikana kwa rangi na maua tofauti. Kama unaishi Dar unaletewa popote ulipo na kama ni nje ya Dar unatumiwa popote ulipo. Bei...