Bedsheets cotton

Bedsheets cotton

Hreigns

Member
Joined
May 2, 2017
Posts
16
Reaction score
10
Habari wapendwa!
Karibuni mashuka kutoka Pakistan. Set moja inakua na shuka mbili na foronya nne. Shuka hizi ni kingsize, 100% cotton, hayachuji wala kuweka vipele. Yanapatikana kwa rangi na maua tofauti. Kama unaishi Dar unaletewa popote ulipo na kama ni nje ya Dar unatumiwa popote ulipo. Bei ni shilingi elfu 65 tu.

Kwa mawasiliano na picha zaidi tupigie 0716264007 au whatsap 0783135477.
Karibu upate muonekano mzuri wa chumba chako, karibu tukuhudumie.
 

Attachments

  • IMG-20171226-WA0015.jpg
    IMG-20171226-WA0015.jpg
    32.8 KB · Views: 65
  • IMG-20171226-WA0013.jpg
    IMG-20171226-WA0013.jpg
    18.4 KB · Views: 51
  • IMG-20171226-WA0014.jpg
    IMG-20171226-WA0014.jpg
    13.3 KB · Views: 47
Yako Poa , size ? 180cm ni sawa na futi sita , je ya kwako ni sentimita ngapi
 
Haya ni kingsize, zaidi ya sita kwa sita.
Karibu
 
Mazuri saaana!Ila naomba mwenye jua pale curtains world mnazi mmoja hata namba zao please
 
Hello wapendwa mzigo mpya umeingia, karibuni sana. Call 0716264007 whatsap 0783135477
 

Attachments

  • IMG-20180110-WA0001.jpg
    IMG-20180110-WA0001.jpg
    45.4 KB · Views: 32
  • IMG-20171126-WA0004.jpg
    IMG-20171126-WA0004.jpg
    14.7 KB · Views: 30

Similar Discussions

Back
Top Bottom