Shipping cost kuwa kubwa kuliko bei ya bidhaa, tatizo ni nini?

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,028
2,000
Wakuu kuna bidhaa huwa natamani kuzinunua Aliexpress, ila shida inakuja kwenye shipping cost, unakuta bidhaa inauza usd 100 alafu shipping cost usd 400.

Swali langu kwa wanaoweza kuagiza hizi bidhaa wanatumia mbinu gani? Je, ni sahihi kuwa na cost za namna hiyo?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,833
2,000
Shida ndipo inakuja unless uzungumze na mzungumzaji labda akutumie kwenye shippers kama silent ocean. Mimi huwa nikiagiza zinaenda kwa jamaa yangu kule kule China ndiye anaziforward kwangu. Tena njia hii huwa inanisadia zinawahi kufika kuliko ile China mail unasubiri mpaka unasahau.
 
Hreigns

Member
May 2, 2017
16
45
Kwa kuongezea kwenye uzi wa mdau. Kuna mtu anahama kutoka Dar kwenda Korea. Sasa anahitaji kusafirisha vitu vyake kutumia kontena. Mwenye kujua shipping cost na kampuni zinazohusika na hizi kazi msaada please.
 
kenge 10

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,092
2,000
Fanya hivi
  • Ongea na local shippers like silent ocean wakupe address zao za china, nadhani wanabranch mbili so ya karibu na seller wako ndy itakua fresh
  • Mwambie seller kua una local shipper so atume kwao utampa na address
  • Ukilipia mzigo utaongeza na shipping fee ya mzigo from seller to shipper
-Make sure anakupa tracking number ili ujue movement ya mzigo wako na ukiona umekua delivered tu mcheki shipper for confirmation
  • Shipper atakupa info za mzigo km shipping cost to bongo, expected date ya kupokea etc
  • Disadvantage ya hii ni mzigo utafika baada ya mwezi hivyo km kuna any demages au fraud by seller utashindwa kumreport kwa Alibaba or aliexpress coz link ya feedback itakua ishaexpire
Thank you
 
Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
318
1,000
Agiza vitu china na hawa homeforquality, wacheki kwenye instagram yao homeforquality1, mcheki huyu binti whatsapp: +8618811371906 huyu ni mtanzania anaishi guangzhou/gwanzuu..wanaofisi zao Tanzania sinza.
 
Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
318
1,000
Wakuu kuna bidhaa huwa natamani kuzinunua Aliexpress, ila shida inakuja kwenye shipping cost, unakuta bidhaa inauza usd 100 alafu shipping cost usd 400.

Swali langu kwa wanaoweza kuagiza hizi bidhaa wanatumia mbinu gani? Je, ni sahihi kuwa na cost za namna hiyo?
Agiza vitu china na hawa homeforquality, wacheki kwenye instagram yao homeforquality1, mcheki huyu binti whatsapp: +8618811371906 huyu ni mtanzania anaishi guangzhou/gwanzuu..wanaofisi zao Tanzania sinza.
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,028
2,000
Agiza vitu china na hawa homeforquality, wacheki kwenye instagram yao homeforquality1, mcheki huyu binti whatsapp: +8618811371906 huyu ni mtanzania anaishi guangzhou/gwanzuu..wanaofisi zao Tanzania sinza.

Sawa mkuu..shukrani
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,906
2,000
Shida ndipo inakuja unless uzungumze na mzungumzaji labda akutumie kwenye shippers kama silent ocean. Mimi huwa nikiagiza zinaenda kwa jamaa yangu kule kule China ndiye anaziforward kwangu. Tena njia hii huwa inanisadia zinawahi kufika kuliko ile China mail unasubiri mpaka unasahau.
Jamaa anaeziforward kwako huwa anaziforward kwa kutumia njia gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom