Recent content by HPLC

  1. HPLC

    Prof. Muhongo: Magwangala yana sumu ya Zebaki, inahitaji umakini wakati wa kuyagawa

    Hii liquid metal( mercury) ni hatar sana sababu ni bio accumulants yanaweza kupatkan hata kwenye mboga hivo kusababisha chronic cancer hapo badae
  2. HPLC

    Mbunge wa Mtera, Mh. Lusinde amtaka Lowassa kuacha upotoshaji

    Huyu mla viwav anasapotazi kwel Lema =lusinde this is too much jokes
  3. HPLC

    Mbunge wa Mtera, Mh. Lusinde amtaka Lowassa kuacha upotoshaji

    Mkuu umenikesha kwel jion hh kula like 5
  4. HPLC

    Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!

    Anayezuia maandanamo na mikutano aende mahakaman ....huko ndo kuna tafsiri ya sheria plz mtu asinumbue nikiwa frontline
  5. HPLC

    Prof. Ndalichako: Rudisha ARU UDSM

    Vip sest ajaunganishwa
  6. HPLC

    Prof. Ndalichako: Rudisha ARU UDSM

    Hile ishu nilikuwepo nakumbuka xuli ya sest tulikuwepo wengi aise m kidgo aniondoe chuo 2011 kipind hicho nimepoteza result slip yaF 6
  7. HPLC

    Prof. Ndalichako: Rudisha ARU UDSM

    Prof kiampa yupo ? Nimetoka Aru 2015 kumejaa ftina kubwa pale utawala prof kasenga na prof kaseva haziivi kisa vyeo ndo wamekosa strategic hata wameshindwa kumalizia lile jengo la building Aibu tupu cwez kufunguka humu
  8. HPLC

    UVCCM wapinga wenzao kutumbuliwa na Kamati Kuu ya UVCCM, Wamvaa Mh Nchimbi

    Huu uzi umekosa watetez kias hiki ? Ngoja niperuz nyuz nyingine nione hawa vijan kama wapo online ... make mda wa swala ndo unaisha hivi tyr
  9. HPLC

    DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuwachukulia hatua kundi la kisanii la Orijino Komedi

    Tatizo sheria zetu zimejaa makatazo ya kila aina
  10. HPLC

    Zaidi ya Wakuu wa Wilaya Wastaafu 100 wajikita katika Ujasiriamali

    Humu hamna lig ya kuanzisha thread mkuu tulia njoo na point za maana hii c fb
  11. HPLC

    Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

    Mh wazir dokta rais wa zanzibar anaongoza kutumia remote pale dodoma hana power yyte R.i.p mzee jumbe
  12. HPLC

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye samsung galaxy j2 kwa bei nzuri anipm
  13. HPLC

    Miaka 50+ ya uhuru ila bado tu tunataabika na usafiri kisiwani Mafia

    Pole sana mkuu hila subr tunafukuzia kwanza rum za kupanga pale dom na watumishi hewa
  14. HPLC

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Umenikumbusha mbali aise nifkiria nyumban nahis choz linadondoka
  15. HPLC

    Rais Magufuli: Serikali haitotoa chakula cha msaada kwa watakaokumbwa na njaa

    Huu uzi unakimbia lakin wale wa rangi yetu pendwa siwaoni humu wakija watasema lowasa ndo kasabsbisha majanga ya njaa
Back
Top Bottom