Miaka 50+ ya uhuru ila bado tu tunataabika na usafiri kisiwani Mafia

tommyy

Senior Member
Mar 7, 2013
178
85
Wadau sio siri huu ndio usafiri wa abiria unaotumika kwa wakaazi wa kisiwa cha Mafia kilichopo mkoa wa Pwani. Serikali tusaidieni kwa hili na sisi ni watanzania tunateseka.

1471028001083.jpg
 
Nakumbuka nilikuja huko nikaenda kisiwa kidogo cha jibondo, aisee usafiri wake Ni bora Na huo uliobandika hapo!!
 
Na huo ni MTO rufiji nafikiri sina hakika sana na jina la MTO. Safari inaanzia hapo mtoni kuitafuta bahari to mafia. Nilipanda hiyo boat SAA Tisa alfajiri nikiwa naelekea mafia lakini baada ya mwendo Massa mawili HV boat ilizima na kuanza kuingiza maji ndani... Sitaki kukumbuka lile tukio
 
Pole sana mkuu hila subr tunafukuzia kwanza rum za kupanga pale dom na watumishi hewa
 
Baharesa hajawahi kuleta boti huku tangu azaliwe.

hizo boti mmoja ilikuwa na uwezo wa kubeba abiri 200, hii ilishndwa kupata abiri 200 kwa siku mmoja.

hiyo ya pili, ilikuwa na injini 2 za nje, hii ilipigwa fitina na majungu na wamiliki wa zile boti za mbao kisa injini zake kuwa nje.
 
Mkuu samahani, unatania au ukweli? Maana kama ndiyo hivyo ni hatari.
 
Back
Top Bottom