Recent content by HPC 1

  1. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mashirika ya Ujasusi ya Uingereza na Marekani yalivyozingatia mauaji kama suluhisho

    Andiko zuri sema linakosa muunganiko
  2. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Hapo sawa Maelezo yamekamilika ila yameleta swali jingine, kwamba hicho kiumbe ukikutana nacho unachotakiwa ni kukausha kama hujaliona na kuendelea na mambo yako?
  3. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Hicho kiumbe huwezi kukielezea hata kidogo wajumbe tupate haya picha flani kwenye mawazo yetu
  4. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

    Hii nadhalia ya kwamba hizi nyumba ni nafuu sio kweli, ukweli ni kwamba gharama za kupauwa zinapunguwa kwa kiwango kikubwa maana zinatumia mbao chache na bati chache lakini sehemu nyingine kama kusimamisha boma na kufanya finishing gharama zipo vilevile nimeongea na mafundi wengi wanatoa ushauri...
  5. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

    Kwakuwa upo dar ukienda kwenye maduka orange huwa wanafanya matengezo ya vifaa vya Samsung hasa vile vyenye wallant Na visivyo na wallant pia
  6. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna wataalamu wa IT Tanzania?

    Maximalipo M-pesa Sina taarifa kwa undani ila hizi ni product za wabongo
  7. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Programming Language soma ujifunze kitu

    Am waiting
  8. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Apps za Tanzania zenye Installs 1M+

    Jf inafikisha ngapi?
  9. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ubuntu waja na simu za mkononi

    Bado wamebugi kutumia media Tek performance itakuwa sawa na kina tecno
  10. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Dell Desktop tower Optiplex Gx520 kujizima, naomba msaada

    Hiyo ni model ya desktop pc yangu, imepata tatizo la ghafla ambalo sijajua linatokana hardware au software. Unapoiwasha pc inawaka na kukaa mda mfupi kisha inazima na kunamda haiwaki kabisa badala yake kwenye taa ya switch on ina blink rangi ya orange tu naombeni msaada
  11. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Jupita umetoa ushauri sahihi moja ya jibu ji kuto kubadili ufumbuzi mala kwa mala
  12. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    KAGAMEE kwa mambo ya tiba ni mapema kutoa feedback ila kwa sasa tiba ninayotumia inatoa matumaini hamna tena mapele mapya na yale ya zamani yote yanakauka ....
  13. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Mimi nimekwisa pata njia mbadala sasa nafanyia kazi ushauli nilioupata kwanza asanteni maana mambo ya tiba yanataka uvumilivu
  14. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Jusper ochieng.. Aisee nitajitahidi kufanya hii njia..
  15. HPC 1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Kuhusu after shave sijawahi kutumia ukiacha spirit tu. Na kuhusu kuziacha watu wengi wamenishauri niziache ziote zote kisha nisivyoe zote sinauhakika kama itakuwa ndio tiba ila nitaitekeleza
Back
Top Bottom