Wanaoongeza au kupunguza herufi katika maneno wana kitu kinaitwa athari za lugha mama.
Mfano:
Mtu anasema "Hasha hayupo hapa, hameenda mjini"
Kwa usahihi alitakiwa kusema "Asha hayupo hapa, ameenda mjini"
Watu wanaoongeza 'h' sehemu ambapo haikuwepo au kuiondoa ilipo asilimia kubwa wanatoka...
Natafuta mchumba wa kike awe na umri wa miaka 25-30. Awe ameajiriwa.
Umri wangu ni miaka 30. Jinsi yangu ni mwanaume. Nmeajiriwa. Maelezo mengine tutapeana kadri tutakavyowasiliana.
Aliye serious tuwasiliane PM.
Ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.