Nimeajiriwa kwenye compuny mwaka 2014 na kila mkataba wangu ulipokuwa unaisha nimekuwa nikipewa barua ya kuuendeleza huo mkataba mwaka huu nimepata promotion ya kupandisha cheo kidogo. Baada ya kupewa barua ya nyongeza ya mshahara na barua ya kuendeleza mkataba GM wangu akawa ameondoka katika...
Naombeni ushauri jamani nimefanya interview katika company fulani nimekubaliwa ila nahisi kuna utengenezwaji wa rushwa ili niingie kazini sasa nishaurini nifanyeje?
Na kazi naitaka nitumie sms kwenye namba yangu 0713671409 nitaufanyia kazi ushauri wako.
asante.
Habari wana jamii?
Nilitofautiana kauri na mtoto wa bosi, baada ya hapo nikaandika barua ya kuomba msamaha. Cha ajabu boss anataka niandike barua ya kuacha kazi!
Naombeni msaada wenu jamani nipate haki yangu.
wewe chunga mdomo wako! sisi huwezi kutulinganisha na kinchi kama mkoa wa singida! sisi tuna bandari,maziwa na visiwa, mapori,milima na takataka kibao mpka nchi matajiri wanatugombania hao wana nini zaidi ya damu ya ma elf ya watu katika nchi ndogo kama hiyo!
wewe lekebisha luga yako anayejishebedua ni mama yako mzazi nyau wewe sisi nchi yetu ni kubwa tuna bandari maziwa mito milima na takataka kibao sasa hicho kinchi kama ki mkoa wa singida kitatutisha nini? kuwa na adabu nyau wewe!
thanks bro ni watu wachache sana wenye kuelewa machungu na maumivu tunayoyapata gays tuliofanyiwa unyama tulipokuwa wtoto but wewe unaelewa! hii inaonyesha ni kiasi gani elimu na utu wako vinafanya kazi ndani yako bila shaka asante.
sasa hap ndo patamu nisaidie kupata watumishi wa mungu wa kweli sio mtumishi wa dini unaenda kumuelezea tatizo lako anaenda kukuombea kwa kukushika ------ so nisaidie kama katika dunia hii ya mwisho kama yupo atakaeweza kunisaidia na si kunitaka anipakuwe tena.
kaka unaweza kuokoka ila isikusaidie kama hujapata msahada wa kimatibabu. mimi nisha do na wachungaji, mashekh,na watu wenye kuaminika sana kwenye dini zao kama viongozi wazuri sitaki kumtaja mtu but wao ndo wapenzi wa hi hizi mambo tena sana sembuse sisi waja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.