Ushauri gani uliowahi kupewa ukaupuuzia na hujajuta kwa uamuzi huo?

Code Breaker

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
1,019
445
Helo helo Tanzania......
Mimi nilipata nafasi ya kwenda jeshini na nikashauriwa na baadhi ya watu kwamba niende badala ya kwenda chuo kusoma.... Niliupuuzia ushauri ule na kwenda kusoma chuo.... Mpaka leo sijutii uamuzi ule....

Karibu utujuze kwa upande wako.
 
Niliambiwa nisile mbunye nikabisha ili kujiridhisha kwanini tunakatazwa wakati wanaotukataza wengine wana wake hadi wanne.

Basi nikala mbunye ili nithibitishe kuna nini nyuma ya pazia! Lol! Kumbe mbunye tamu namna hii! Wachungaji na Mashehe Muache uchoyo jamani!!!
 
Inatakiwa uanze kujuta wewe mwenyewe kwanza.
Maana chuo umeenda kwa pesa za familia yako wakati ungeingia Jeshini ungesomeswa na Jeshi na ile pesa uliotumia ingesaidi Familia yako.
 
Inatakiwa uanze kujuta wewe mwenyewe kwanza.
Maana chuo umeenda kwa pesa za familia yako wakati ungeingia Jeshini ungesomeswa na Jeshi na ile pesa uliotumia ingesaidi Familia yako.

Sijajuta coz ckupata hata senti moja kutoka kwa familia yangu and am helping them BIG now.
Don't judge by xperience, judge by what is right.
 
Nilishauriwa nijiunge na Forever living.., nikagoma.., baada ya kumuona rafiki yangu mwenye degree kageuka machinga wa dawa za mswaki.., sijutii kabisaa..!
 
Sijutii ushauri wa marafiki, niendeleze ulevi/zinaa;Bali niliacha kila aina ya Zinaa na Ulevi kwa ushauri wa My pastor !
 
Helo helo Tanzania......
Mimi nilipata nafasi ya kwenda jeshini na nikashauriwa na baadhi ya watu kwamba niende badala ya kwenda chuo kusoma.... Niliupuuzia ushauri ule na kwenda kusoma chuo.... Mpaka leo sijutii uamuzi ule....

Karibu utujuze kwa upande wako.

najuta kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja sasa nishindwa kutoka!
 
Back
Top Bottom