Recent content by hotneedle

  1. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Mbona story ya kubuni tuu, Haina umalizio unaoeleweka
  2. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

    Yaan wanasayansi watz wanaotafiti Mali za asili hawako, hii ni aibu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. hotneedle

    JamiiForums Tanzania KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

    Yule shabiki wa mabibo alieapa kutembea uchi simba ikishinda amesalimika kwa matokeo ya jana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Umenikumbusha mbali enzi ya Kagunga wa kipindi cha mzee Jangala cha kibuku Sent using Jamii Forums mobile app
  5. hotneedle

    JamiiForums Tanzania TAZARA wanaweza kufanya safari ya Dar - Mbeya kwa masaa matatu tu, suala ni kuwa na mikakati mikubwa ya muda mrefu

    Mpaka sasa hakuna reli bora kama ya TAZARA, kweli ikiboreshwa inaweza kuwa na tija Sent using Jamii Forums mobile app
  6. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Nikipata ujumbe huo kwenye simu, nikaujibu, Lakin majibu hakuna!!! Je lengo Lao ni nini?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Kipanya kanigusa

    Aliyechora katuni HII ni Kipanya? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Emphraim Kibonde na Maulid Kitenge.

    Duh watu wanatunza kukumbukumbu sana, labda picha hiyo ni kwenye miaka ya 90 hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Hivi ni sawa kuiita siku ya HATARI kupata mimba au siku IFAAYO kupata mimba. Ni tafakuri yangu tu maana nimesikia wengi wanasema ni siku ya HATARI Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    Hilo mimi sikubaliani nalo kwanni kwa Africa ngono za kinywa ni chache sana. Naamini hayo ni magonjwa yanayozuka kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Anga sio sehemu ya dunia bali sehemu ya ulimwengu

    Uko sahihi kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Wale wa NJOMBE naomba niwe mwenyeji wenu

    Mimi niko njombe, karbu sana, WATU wanapenda kutisha wenzao kwann? Njombe ni mahali pazur na salama. Shida ni papara zako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Traffic wanaongoza magari mataa ya Tazara wakati hakuna msafara wa viongozi

    Asante kwa taarifa, nilikuwa sijui Sent using Jamii Forums mobile app
  14. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Traffic wanaongoza magari mataa ya Tazara wakati hakuna msafara wa viongozi

    Hivi daraja la mfugale ilikuwa mipango ya wakati wa kikwete au magufuli Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hotneedle

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa uchakarikaji kwenye maisha

    Wachawi ni kabila LA wapi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom