Recent content by Hot Pare

  1. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania UKUTA ni Mkakati wa CHADEMA kuizuia Serikali isifanye kazi yake

    mkuu kama cdm imevurugwa na kasi ya jpm ndiyo talk of the town manake ni wtz wote wanawakubali then cdm haitapata watu sasa nini hofu yenu mpaka ffu kuandamana nchi nzima?
  2. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kauli ya Marehemu Jumbe Kufitiniwa na Maalim Seif; Mahojiano na Gazeti la Mtanzania 2002

    Mohamed Said njoo tuweke sawa huku
  3. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya Amani, Nimehamasika, Nitashiriki!, Natoa Wito, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...

    huyu jamaa Pasco kakumbwa na tufani iliyo mbeba Mzee Mwanakijiji naye si gt tena soon post zake zitaanza kudharauliwa kama za huyo mzee. pesa ina nguvu sana
  4. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, wamekuwa waoga kupitiliza kisa kuambiwa UCHOCHEZI

    Hakika fedha ni kiboko yaani wewe toka kale kahabari kako ka nec umebadilika kabisa kweli leo hii huoni kabisa yanayofanyiwa kwenye sekta ya habari na unaona iko sawa! jukwaa la wahariri wameipinga serikali ila wewe aaah umeshapumbazwa. haya bana jilie vyako usitukwaze humu bora usipost kitu humu
  5. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania UVCCM wapinga wenzao kutumbuliwa na Kamati Kuu ya UVCCM, Wamvaa Mh Nchimbi

    Nashangaa kutomuona @lizabon kwenye huu uzi najaribu ku connect dots
  6. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    atoto aaah mi nipo opposite nawe... ZariMond!! i like hii couple Lol! Dai anajua ishi ki super star even his songs ziko vizuri acheza vizuri na minds zetu.
  7. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    haaa hhaa haa mamii we ni team kiba!
  8. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Dhahabu huchangia kupunguza nguvu za kiume

    Huyo atakuwa mganga wa kienyeji tu...Je hakukwambia uache dhahabu kwake?
  9. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama unataka kumnasa mwanaume mwenye sifa fanya hivi

    Atoto naomba uniitie Kaizer anipe mwongozo hapa nataka nami nnchangie hii thread!
  10. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    MmmmH ndo maana nimeachwa solemba hata sitembezwi tena humu lol hata miiko sipewe!! Jamani Atoto mwache leo tu antembezi hii mitaa ya mmu jamanii siezi post chochote humu naogopa kukimbizwa!
  11. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    Ha ha ha ha jamanii we si mwenyeji humu?
  12. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    mmmmh! atoto nini tena mwaya?
  13. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    Mchadema yule
  14. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    Sema yeye mwanasiasa! hili jukwaa sijamuona
  15. Hot Pare

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    Kaizer pekee alinipokea vizuri hapa naona tena kanikimbia eti anchunguza lol!
Back
Top Bottom