Recent content by hosnem

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

    Hii hata mimi imenikuta na baada ya kuhangaika nikakuta house girl alikuwa mchawi nikafukuza sasa hivi nipo fresh.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Unapigwa muda si mrefu
  3. H

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Lini mtaondoa gari la Mobile Banking pale Mji wa Nanyamba Mkoani Mtwara?. Huduma za ATM kwenye lile gari haziridhishi mara nyingi inakuwa imeharibika na kuleta usumbufu kwa wateja wenu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hbr, mimi ni Mkazi wa Wilaya ya Mtwara Jimbo la Nanyamba. Swali langu kwa wanaohusika ni kwa nini umeme unakatika inafika zaidi ya mara 10 kwa siku katika maeneo kuanzia wilaya ya Mtwata vijijini, na Tandahimba?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

    Mkuu. Sehemu nilipo kuna wachawi je ninawezaje kujikinga na hawa wachawi?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Hilo jitu ningekuwa mm ningekuwa nimelifukuza zamani sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mchumba mkaka wa kiislam

    Ni PM
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    Weka picha pls
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume njoo tuyajenge

    Njoo PM
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Bajati mbaya nasikitika nashindwa kuvikumbuka. Ila nashauri unaweza kuenda pale regency omba kumuona daktari bingwa wa ngozi. Kama unakadi ya bima Ni rahisi zaidi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mkono wa sweta (govi) ninalo ila hakuna anaejua kama ninalo

    Yes jf raha inaondoa stress
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nauza Halotel Moderm 35 elfu tu!

    Dogo chukua 20,000 usiendelee kujaza watu. 0622 200404
  13. H

    JamiiForums Tanzania Demu wangu anataka kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Mkuu muulize ameshagongwa 0713 mara ngapi kabla yako?.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Aliniandikia dawa ya kupaka inaitwa candiderm cream na vidonge vya anti allergy kwa jina sivikumbuki nilikuwa nameza vinne kwa siku kwa muda siku 28. Pole Sana.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Mkuu hata mm nilikuwa na vipele Kama hivyo nilienda pale hospitali ya regency yupo daktari bingwa wa ngozi alinipa vidonge nikapona kabisa.
Back
Top Bottom