Recent content by Hosea SM Jr

  1. Hosea SM Jr

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Kama vijana wanaendelea kupotea katika nchi hii inayoaminika kuwa iko huru sidhani kuwa nchi hii ipo safe. Lazima tujue kuwa lipo dudu linalonyemelea taifa letu kama halijafika bado. Kwa Mtu mzima na mkweli wa nchi hii atakubaliana kuwa poteapotea ya vijana wetu si bahati mbaya wala mkosi ila ni...
  2. Hosea SM Jr

    Madawa ya kulevya-aina na athari zake kwa mtumiaji

    madawa yanaliteketeza taifa kwa kuwateka vijana wetu. Sirikali haipaswi kulichukua suala la madawa kama kiki ya kisiasa bali kuwa na mkakati wenye malengo madhubuti ya kuuokoa umma wa vijana ambao upo addicted. Sidhani kuwa unaweza kupambana na madawa wakati mataifa unayokwenda kuomba misaada na...
  3. Hosea SM Jr

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    HUO NI UDHULUMATI KWANI HAO HEWA SI PAMOJA NA MKE WAKE.
  4. Hosea SM Jr

    Tumaini Makene: CHADEMA ni mmiliki wa makao makuu yake

    Ccm wajipange kabla ya kusema
  5. Hosea SM Jr

    Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

    Alisingiziwa kwani yeye alikuwa mchunga ng'ombe
  6. Hosea SM Jr

    Nataka kubadili leaving certificate

    Njoo nikupatie nyingine
  7. Hosea SM Jr

    Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Nadhani kati ya hao wateuliwa kuna mmoja alichunguliwa.
  8. Hosea SM Jr

    Natafuta kazi ya waiter

    Nafasi niliyonayo ni waitress piga 0767397368. Eneo la kazi ni Singida Mjinu
  9. Hosea SM Jr

    Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Genta mimi pia hyo taarifa niliipata toka kwa mjumbe mmoja wa Halmashauri Kuu ya Ccm. Asiyeamini aache kuamini mpaka yatokee ila huo ni ukweli usiopingika.
  10. Hosea SM Jr

    Mwaka 2025: Selemani Jaffo ni mgombea wa CCM urais(?)

    "Hosea SM Jr" Mkuu anayeamini katika kukoroma kama anawafokea wachunga ng'ombe hatumtaki ajitokeze tena katika msamiati na hansadu za himaya hii. Tunamuomba Karima atujazi na afya 2020, tubadili mboga maana sioni dira ya taifa ikielekea kwenye mafanikio. Halafu nchi imekuwa ya siasa. Poleni...
  11. Hosea SM Jr

    Mwaka 2025: Selemani Jaffo ni mgombea wa CCM urais(?)

    Mkuu anayeamini katika kukoroma kama anawafokea wachunga ng'ombe hatumtaki ajitokeze tena katika msamiati na hansadu za himaya hii. Tunamuomba Karima atujazi na afya 2020, tubadili mboga maana sioni dira ya taifa ikielekea kwenye mafanikio. Halafu nchi imekuwa ya siasa. Poleni wana wa Bukoba...
Back
Top Bottom