Recent content by hosea kasamala

  1. H

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyawasilisha majina ya wagombea wao wa nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la JMT

    naamini bado HASHIM RUNGWE ana mapenzi mema na nchi ya Tanzania bora apewe uspika bunge liwe na adabu maana miswaada inapita kihuni kweli
  2. H

    JamiiForums Tanzania Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

    inasikitisha sana staili iliyotumiwa na hawa polisi uchwara ati wanatuliza vurugu ili wapole simu wakati watu wakiwa wamechanganyikiwa wengine hufanya kutuliza ghasia ndo chanzo cha mali hata kama hakuna vurugu hawa askari uchwara wao ndy chanzo cha vurugu ili wanufaike naomba mungu awafadhili...
  3. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    du! mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi, amen! inahuzunisha sana makamanda wanapopoteza maisha kikatili kweli nchi hii haina amani kweli, kaz ipo kuelekea tanzania halisi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    hiyo ndiyo tukuyu bwana wanyaki hatuna cha kupoteza mwaka huu,
  5. H

    JamiiForums Tanzania John Mwambigija kuongeza bei ya zao la chai, kutoka 235 kwa kilo hadi 1700

    pamoja xana pande za tukuyu hii ni dalilili njema kwa wakulima rungwe
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

    du ukawa wamejipanga!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Kwanza hicho chuo ulichosoma ni feki na pengine hakikusajiliwa ndo maana hujui ulifanyalo, yaani unajua ada ya chuo choko ulichosoma chizi wewe, pipoooz!!! ...........€
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    hii gharika haizuiliki! Lowasa lazma apewe urais tujikumbushe irani mwaka 1978 mafuriko kama haya yalitokea, serikali iliyoondolewa madarakan walitumia mpaka vifaru nguvu ilishinda kwa kishindo, kaen mkao wa mabadiliko watanzania lowasa apewe nchi makufuli tumwandae kwa ajil ya cku za mbele sana...
  9. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    tukuyu rungwe umekata tangu mornie
  10. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    hii pombe inalewesha hapa hakuna maendeleo. Makufuli na uraic haviendi raic gan ana wenge kwa hajiamini jana kapita tukuyu hana jipya hana swaga hata nusu saa haikufika swaga zilikata ajipange next time...... Pipoooz!!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

    kwa hali hii nchi mpaka ikae kiganjan kwa upinzani
  12. H

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    nashukuru kwa mwanzo mzuri katika EPL nadhan msimu huu man u maandaliz yako sawa tuna kila sababu kurejesha mataji
  13. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa kushinda uchaguzi mapema sana.

    kazi ni moja tu ambayo ni kuwaondoa CCM na lazima waondoke watanzania wameamua kumchagua mpendwa wao lowasa rais mpenda mabadiliko
Back
Top Bottom