Recent content by hoscute

  1. hoscute

    JamiiForums Tanzania Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

    Kuna siku tulitofautiana, nikawa nalia akaniambia usije ukaniletea uchuro kwa machozi yako. Ikabidi nimwage manyanga
  2. hoscute

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ila nimefurahi ulivyokataa kumla Mary, sijui kwann simpendi
  3. hoscute

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Nimejisikia vibaya maana hata mi napitia hali kama hii,jamani wanaume mjitahidi kutupa moyo tu, sio kwamba tunapenda, unakuta mwili unafumuka tu.
  4. hoscute

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hongera INSIDER kwa kushare nasi story ya maisha yako, kwa upande wangu nimeburudika na kuelimika sana. Nimepata funzo kua sitakiwi kumpimia sex mme wangu. Nilikua na maswali mawili kwako. 1. Je hua unajuta kuoa mapema...
  5. hoscute

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jamani nimeishia kuumia na kukuonea huruma
  6. hoscute

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sijui kwa nn ila nahisi akifika kwa prisca atakuta ana mwanaume mwngne ndani
  7. hoscute

    JamiiForums Tanzania Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

    Basi mi nikimuona huwa nampiga na mfagio kumtoa nje,kumbe ni hazina
  8. hoscute

    JamiiForums Tanzania Niliwahi andika natafuta mganga

    Pole… endelea na maombi tu utatoka kwenye hicho kifungo, au mshirikishe mchungaji wako ili akupe muongoze.
  9. hoscute

    JamiiForums Tanzania Bi mkubwa amenipigia simu analia muda huu,anasema amepigwa makofi na mzee

    Ugomvi wa wazazi kamwe usiungilie hata siku moja na umewekee mazingira mama yako kuto report kwako kila wakigombana na mmewe maana anakutengenezea chuki dhidi ya baba yako jambo ambalo litaku cost baadaye. In short bi mkubwa hana busara
  10. hoscute

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Hatari
  11. hoscute

    JamiiForums Tanzania Una experience gani mbaya au nzuri kuhusu kukaa kwa ndugu?

    Sitasahau jamani yaliyonipata kwa ndg na nikaapa kwamba sitarudia na sitaruhusu mwanangu aishi kwa ndg labda bb yake. Palikua ni nyumbani kwa baba yangu mkubwa na alikua akienda kazn kwa shift, akienda asubuhi mnapata chai kavu au na slice moja ya mkate ila watoto wake wanakula kwa kushiba, na...
  12. hoscute

    JamiiForums Tanzania Toka amejifungua, tukisex anaumia

    jamani utafute mchepuko kwa ajili ya hiyo changamoto aliyoipata? Mi nadhani mpe mda atakua sawa. Hali kama hiyo iliwahi kunipata nilivyotoka kujifungua, ila iliisha tu yenyewe hata sijui ilichukua mda gani ila nikajikuta tu niko sawa
  13. hoscute

    JamiiForums Tanzania Aliowahi kutumia hii lotion

    Ni nzuri kama we ni muumini wa kung’aa
  14. hoscute

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Kama mkeo umeongea naye na haoneshi kujali mfanyie roho mbaya. Ndugu zake usiiongee nao kitu, anza kwenye bajeti kama ulikua unanunua vyakula in bulky acha we mpigie bajeti ya siku ndo uache hela na hiyo bajeti iwe ya wawili tu. Halafu kwa hao ndugu acha kabisa kuwajali...
  15. hoscute

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliopitia machozi, jasho na damu katika ukuaji wetu

    Pole sana, alimchagua mwanaume over nyie kipindi mnamuhitaji na sio kwamba baba aliwatelekeza ndo akafanya kumkomesha. Mmeshakua wakubwa ndo anawatafuta. Apambane na familia yake mpya kwakweli
Back
Top Bottom