Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
Alisha wapi kuja mama yake dosh wangu wa wakati huo akasema hataki tuendelee na mahusiano na binti yake na binti akanikana live, lkn baada ya miezi 2 akaja na lugha ya msamaha na mamayake kumbe anamimba akasema yangu nikalea miezi 3 baadae nikapata za chinichini kuwa nalea mzigo sio wangu...
Hata makambako zipo Kibo Trading kwani ndie wakala wa mosanto Tanzania bei 10g @50000 had 75000 asilla inabei kubwa zaidi kuliko Eden f1 ila Eden inamavuno makubwa
Habarini, nililima kitunguu msimu wa mvua 2014/15 nilikumbana na changamoto ya pacha nyingi nilipanda red creole pia dawa ya magugu haikunisaidia. Mwenye uzoefu naomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.