Recent content by Horombe

  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Kidimu ipo mkoa wa pwani mkuu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    Mtoto si nguo utaomba mtu, mtoto sio kanzu utaazimisha mtu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Mkuu kwenye hili ni kweli kabisa mimi Nina ushuhuda wa Mama yangu mzazi na mke wangu uponyaji upo na utapeli upo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

    Manzese kwa mfuga mbwa au manzese sisi kwa sisi, manzese mvuleni, manzese msufini, manzese sokoni kwa china
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Pole sana tukiwa na uzao tuzae watoto wengi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Matatizo ya Umeme kumalizika 2025

    Ngonjera tangu zamani
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Hussein makabureta,Shwahib mapajero idy janguo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba afuata nyayo za Hayati Magufuli, afanya ziara kwenye Vijiwe na kusikiliza kero za Wananchi

    Huku mburahati Kuna mgao wa kimya kimya
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ummy agundua "lockdown" ya walemavu Tandale

    Hili jambo ni pana kuliko linavyoonekana huyu mmiliki wa guest ametolewa kafara kutokana na kutokuwapa chochote watu wa serikali ya mtaa naomba nielezee Kwa kifupi wale walemavu wengi ni wasukuma kule usukumani ukiwa na mlemavu unamkodishia mtu anaondoka nae kuja Dar Kwa makubaliano maalum ya...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Lockdown ni risasi ya kichwa katika pato la taifa lolote duniani|Lockdown is the bullet to the head of GDP in a country

    Mimi nadhani hata elimu sio ya kutosha Kwa mfano kuna haja ya watu kuelimishwa kuhusu safari zisizo na ulazima unamkuta Mama kwenye daladala yupo na watoto watatu anaenda kumsalimia shoga yake hata masokoni ni bora kuwe na utaratibu biashara ifanyike 24 hrs kupunguza msongamano Sent using...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Na shahada yangu uniambie niuze maji barabarani?

    Mkuu waswahili wanasema tembea uone hapo Kenya ni Jambo la kawaida kumkuta mhitimu wa chuo kikuu ana jiko la mkaa kando ya barabara anachoma mahindi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom