Maharage Chande: Matatizo ya Umeme kumalizika 2025

Maharage Chande: Matatizo ya Umeme kumalizika 2025

CEO wa kampuni yoyote anatakiwa akiingia kazini alete mabadiliko ya tija na uzalishaji.

CEO akifanikiwa kufikia malengo hayo basi aendelee kuhudumu bali akishindwa aondolewe mara moja.

Mwaka 2025 siyo mbali na kwa kauli yake, watu wana matumaini malengo ya CEO wa TANESCO yatatimizwa.

Na kwa wafanyakazi wa kufanya kazi kwa mazoea basi mjue bosi wenu wa TANESCO ataondoka na mtu anayeshindwa kwenda na kasi yake ya mabadiliko ya uwajibikaji na utamaduni uliokuwapo kabla hajateuliwa kuwa mtendaji mkuu wa TANESCO
Ndio wasubirie maana alisema ndani ya miezi 36
 
Huyo anafanya kazi kisiasa badala ya kuzingatia taalumayake.
Hovyo kabisa kusema tatizo la umeme litaisha 2025, aseme tu ametumwa kusema hivyo Ili watu wapate kiki kwenye uchaguzi mkuu2025.
Sasa hapo kiki gani wewe nguruwe wakati huo mwaka yasipoisha ndio mwaka wa hukumu?

Kazi kisiasa how?
 
Mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Maharage Chande akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari Nchini Tanzania , amesema kwamba Matatizo yote ya umeme yatamalizika rasmi mwezi Novemba 2025 .

Na kwamba baada ya hapo hamtawaita tena Watu wa Tanesco kuwauliza kuhusu masuala ya Umeme , Mh Maharage Chande alikuwa anafafanua jambo hilo huku akiadhimisha Mwaka mmoja tangu aanze kazi ya kulisimamia shirika hilo .


Kwa kauli hii kutoka kwa Ofisa wa Juu kabisa wa Tanesco , tunawaomba Wananchi muendelee kufunga mikanda .
Naomba tumpe Msahafu ale kiapo kama ni kweli asemacho,ikifika iyo 2026 kiapo chake kimuhukumu mwenyewe
 
Angesema mtu mwingine ninge mwamini ila sio huyo.
 
Atuambie ni mikakati gani waliyonayo itakayopelekea matatizo kwenye Tanesco kwisha hiyo 2025,mikakati ambayo imeshindikana kutumika tangu awali.
 
Huyu muuza vifurushi vya Bongo movie DSTv mrudisheni Multichoice akaendelee kuburudisha jamii!!
 
Kabla hajaongea hivyo alitakiwa arudi nyuma miaka 15 iliyopita ili ajiridhishe kama kweli watanzania hawajawahi kupewa ahadi kama hizo ama labda mara hii kama anahaidi yeye kama Maharage na si serikali ama labda taratiibu viti vinaanza kuwa vya moto majibu ya maswali ya wananchi hayajibiki tena.

Kutoa majibu yale yale kwa swali lile lile kwa miaka 15 iliyopita ni kukosa adabu, umakini na weledi. Ni dharau kwetu watanzania.
 
Kabla hajaongea hivyo alitakiwa arudi nyuma miaka 15 iliyopita ili ajiridhishe kama kweli watanzania hawajawahi kupewa ahadi kama hizo aka labda mara hii kama anahaidi yeye kama Maharage na si serikali.
hakuna mwanaccm anayeogopa kudanganya , kwanza mtawafanya nini ?
 
Wapumbavu wanaendelea kufanya dhihaka na maisha ya watanzania na inasikitisha kwamba hakuna mtetezi anayejitokeza mwenye nia thabiti ya kudhibiti udhalimu huu.
 
Ngonjera tangu zamani
 

Attachments

  • 1667312277300.jpg
    1667312277300.jpg
    53.5 KB · Views: 17
Mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Maharage Chande akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari Nchini Tanzania , amesema kwamba Matatizo yote ya umeme yatamalizika rasmi mwezi Novemba 2025 .

Na kwamba baada ya hapo hamtawaita tena Watu wa Tanesco kuwauliza kuhusu masuala ya Umeme , Mh Maharage Chande alikuwa anafafanua jambo hilo huku akiadhimisha Mwaka mmoja tangu aanze kazi ya kulisimamia shirika hilo .


Kwa kauli hii kutoka kwa Ofisa wa Juu kabisa wa Tanesco , tunawaomba Wananchi muendelee kufunga mikanda .
Ahadi za kimegawati tumeshapewa sana..!! Hadi waandishi huwa wanaandika mW (milliwatt) badala MW (Megawatt)
 
Maikoel, wa kujitokeza wapo nadhani ila nahisi wanakosa nguvu yetu wananchi watanzania tunaosagika kama chumvi.

Tunashindwa kuungana dhidi ya mabwanyenye weusi
 
Back
Top Bottom