Recent content by horace

  1. horace

    Wilbroad Slaa: Hakuna wa kumzuia Dk. John Pombe Magufuli mwaka 2020. Wapinzani wanaponzwa na kurukia kauli za viongozi badala ya ajenda

    Dr. Slaa fikiri na ufanye tafakuri ya kina. Umesahau kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaweza kuamua pia kumzuia. Ila taasisi iitwayo CHADEMA inapaswa kuupokea ushauri wako. Dr. Kuna tofauti ya kuishi kwenye joto na kwenye baridi. Wa kwenye baridi anatamani awe kwenye joto na wa kwenye joto...
  2. horace

    Mwita Waitara awaita CCM waongo na waoga bungeni

    Akiba ya maneno ni hazina tosha katika maisha
  3. horace

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Wanajf tufanye tafiti tujiridhishe ili jf iwe kisima cha maarifa.
  4. horace

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Wanajf tufanye tafiti tujiridhishe ili jf iwe kisima cha maarifa.
  5. horace

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    dr fanya maamuzi magumu.
  6. horace

    Mtoto auawa kwa kukatwa ulimi, korodani na kulawitiwa

    fraterin massawe - rip. Aliyeleta uzi huu aliwajibika kufanya utafiti wa kina kabla ya kutoa taarifa zenye maelezo yasiyo na ukweli. Daktari aliyethibitisha kifo cha mtoto, mzazi wa mtoto, walimu wa shule ya msingi magereza na viongozi wa jumuia ya kanisa katoliki karanga wamethibitisha kuwa...
  7. horace

    Halmashauri ziboreshe TRC kwa manufaa ya walimu na jamii inayozizunguka

    Vituo hivi vilianzishwa kwa lengo la kuboresha ufundishaji na ujifunzaji katika shule zetu. Pia viliwajibika kusaidia jamii iliyo karibu kwa kujiendeleza kitaaluma (QT, CSEE, ACSEE n.k.) na kitaalamu kama vile mafunzo ya kompyuta, lishe bora kwa watoto n.k. kutegemea mahitaji ya eneo husika...
  8. horace

    Ajira za ualimu zimetolewa tena rasmi

    FUNGUA MAJINA KATIKA LINK HII AU SOMA ATTACHMENTS http://pmoralg.go.tz
  9. horace

    Hongera Serikali kwa makato ya mishahara ya Waalimu

    Huu ni upungufu wa akili kwa ye yote aliyependekeza wazo hili. Majukumu ya maendeleo ya nchi yanaihusu serikali iliyo madarakani na wananchi wote kwa pamoja. Vipi ujenzi wa maabara ubebeshwe walimu?? Nini kazi ya paye wanayokatwa walimu?? Au hii ni kodi mpya?? Mmezidi kuwaonea walimu. Hii ni too...
  10. horace

    Afisa Elimu Msingi wa manispaa ya Moshi tunashindwa kumwelewa kwa kitendo cha kutupa waratibu 8

    Mratibu Elimu wa Kata au kwa jina jingine Afisaelimu wa Kata ndiye mwakilishi wa Afisaelimu wa Wilaya. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha Sera ya Elimu na Mafunzo inatekelezwa katika ngazi ya familia hadi kata anayoiongoza. Sasa wewe Afisa, uliyeajiriwa na Mkurugenzi wa Manispaa aliye chini ya...
  11. horace

    Naombeni msaada wenu kuhusu post za ualimu

    :cool2: Hapa JF tunahitaji watu jamii ya LUSUNGO ambao hutoa msaada sahihi kwa wakati muafaka kwa wanaouhitaji. Ni kweli selection ilishafanyika na waliochaguliwa kuingia vyuo vya serikali wanakwenda kuchukua Diploma na sio Ualimu ngazi ya cheti. Hata hivyo vyuo vya visivyo vya serikali...
  12. horace

    MANISPAA YA MOSHI hali tete / ELIMU YA MSINGI

    :angry:AMA KWELI. BORA KUUAWA NA SIMBA MWENYE NJAA MAANA ANAWEZA AKALA NYAMA YAKO KULIKO NYOKA MWENYE SUMU AMBAYE BAADA YA KIFO CHAKO HATAKUFAIDI KWA CHO CHOTE. KIRAMBA NI NYOKA MWENYE SUMU. HANA TOFAUTI NA KIGAGULA KICHAWI KINACHOLOGA WATOTO WASIO NA MAKOSA KWA SABABU TU KIMEONA WIVU KWA...
  13. horace

    Barua ya wazi kwa Shukuru Kawambwa

    Ama kweli. Bora kuuawa na simba mwenye njaa maana anaweza akala nyama yako kuliko nyoka mwenye sumu ambaye baada ya kifo chako hatakufaidi kwa cho chote. Kiramba ni nyoka mwenye sumu. Hana tofauti na Kigagula kichawi kinachologa watoto wasio na makosa kwa sababu tu kimeona wivu kwa wazazi wa...
Back
Top Bottom