Recent content by Hopes1

  1. H

    JamiiForums Tanzania Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

    L Ahsante Nilikuwa juu ya maji chomboni ziwa victoria, ndotoni nilikuwa peke yangu sukuona watu wengine, niliota mwaka Jana.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

    Mtumishi Rabbon naomba tafsiri ya ndoto hii, niliota ndoto nilijiona nipo ziwani nikiwa sina furaha, naomba tafsiri ya ndoto hii.
  3. H

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Election No Refom
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Pumzika kwa amani ndugu yangu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunamsaidiaje Mpina?

    Nasimama na Mpina
  6. H

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ameeeen Mwalimu, ubarikiwe sana kwa utume wako.Nitafuata ushauri wako usiache kuniombea. Mungu akubariki wewe pamoja na mtumishi aliyefungua thread hii.Amen
  7. H

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante sana Mwalimu 7seven kwa mafundisho yako yametufungua wengi wetu tulikuwa vifungoni, yote uliyofindisha yametugusa kwa asilimia 100%. Mungu akubariki sana kwa huduma n karama hii ya kufungua watu kutoka katika vifungo vya shetani. Usiku wa kuamkia Leo nimeota ndoto nilikuwa nyumbani...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Mkuu Nguruvi3, Shukrani sana kwa uchambuzi makini kuhusu muungano, inachanganya sana kuwabebesha watanganyika mzito bila huruma. Usichoke kuendelea kutufungua akili sisi watanganyika.
  9. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Pumzika kwa Amani William
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kama wewe ni mcatholic nenda kanisani ukachukue Maji ya baraka nyunyizia ndani na nje ya nyumba yako alafu ulete ushuhuda.
  11. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pumzika kwa Amani mdogo wangu warumi!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Rest well Man of God,till we meet again.May your Soul Rest in eternal Peace. Amen
  13. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    May His Soul Rest in Eternal Peace.Amen
Back
Top Bottom