Sio wote! Mama yangu alitangulia mbele ya haki mi nikiwa na miaka 5, malezi ya mama mzazi sikuyapata kabisa aliechukua majukum yakunilea alikua shangazi yangu alinilea kama mwanae wa kumzaa siku pata tatzo lolote alisimamia hadi masomo yangu. Hivyo kama wapo wanao tesa watoto sawa Ila wema pia wapo.
Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Mandaalizi Mubashara ya kuwa Waziri wa sekta Mojawapo Nyeti! Kuna waziri kakalia kuti kavu soon Mtaelewa!
# Hillary Clinton pia alikua waziri baada ya Mumewe kustaafu kwahiyo sioni Tatzo kabisa...
#FADHILA
Hakuna Alie Msafi % kubwa hata wale walio lisimamia hili swala kidete Huenda wakawa wanahusika kwa njia moja au nyingine! Ila kwakua Mpini wameshika wao Inabidi wengine wawewapole tu..!
LISEMWALO LIPO.. NA KAMA HALIPO BASI LAJA..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.