Recent content by honeybae

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Kwahiyo mkuu Faiza sio mwanamke na hana haki na wanae?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Hata kama Faiza mtata ila Happy mchokozi wewe mwenzako hataki na watoto wake wewe unawapost wa nini si upost wako tu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu dini

    Hebu pumzika dada huendi popote na hamna aliyeenda akarudi ebooh
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu dini

    Mkuu dini zote tunamuabudu Mungu na sio kwamba kwa sababu mtu ni dini flani basi ataenda mbinguni isipokuwa matendo yako yatakupeleka na uamini wako,dini zote zinahubiri mambo yaleyale hivyo kama una amani zaidi kwenye ukristo basi fata moyo wako.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wazazi wa watoto wa Panya Road, nina bastola

    Mkuu kwanini wasiende kuwapora na kuwaumiza viongozi waliowaibia hizo future zao,kwanini waje kwetu sisi waganga njaa ambao tumeumizwa na mfumo kwa pamoja
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama anaona ni rahisi eboh
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Yaani chakula changu mwenyewe nipangiwe na mtu nisile kwa masuala yake binafsi kheeee.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

    Mimi nilikuwa nakula japo sio mwingi lakini nilikuwa nakula mpaka nilipopata mimba nikachukia mpka leo sina hamu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Kama ilivyo ada ya jumapili
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Kuna mtu alienda Marekani kwa dada ake walipofika Mall dada ake akamwambia nnavyokujua wewe pamoja na Watanzania tununue sahani moja tutakula wote,akashangaa Mmarekani mwingine anakula sahani nzima. Nadhani sisi hatuli sana ila chakula tunachokula ni content za aina moja. Hebu fikiria ambavyo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

  12. H

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Karibu mkuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

    Pilau na ndizi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

Back
Top Bottom