Recent content by Honest urassa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gemstone

    Nalenga soko la ndani, na ninataka kununua kutoka kwa wachimbaji
  2. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gemstone

    Mkuu kwa sasa bado sijafahamu bei sokoni. Ndio nimekuja hapa kufahamu naanzia wapi.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gemstone

    Habari za humu, naomba kwa anayefahamu biashara ya Vito vya thamani Kama rubby na Tanzanite. Naomba muongozo nahitaji kufanya hii biashara. Natanguliza shukrani.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

    Habari nataka kutumia public transport kutoka DSM to udzungwa msaada mabasi yapi ndio uhakika. Luxury sanasana
  5. H

    JamiiForums Tanzania ku-transer loan.

    Ahsante kiöngozi!
  6. H

    JamiiForums Tanzania ku-transer loan.

    Mi nimebadilishiwa na tcu lakini bado mkopo haujahama.hapa inakuaje?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ?

    Fikiri kabla ya kutenda
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wale wa st.joseph tawi la dar es salaam

    Vip za huko suala la accademic limekaaje
  9. H

    JamiiForums Tanzania Joseph butiku:ningejua ccm itaingilia mchakato wa katiba nisingeshiriki

    Butiku yuko smart tume kiujumla ipo serious keep it up!
Back
Top Bottom