Recent content by HONDA XL

  1. HONDA XL

    Msimamizi wa shamba anatafutwa

    shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi. makazi ni shambani hapo hapo. shamba liko kigoma wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30. kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro...
  2. HONDA XL

    Dogo wa miaka 19 aliyefungua biashara ya 75M+

    Mara nyingi huwa hatupendi kuukubali ukweli wa jambo, ama kwa kujua au kwa kutokujua. binafsi ninaamini biashara ni wazo na sio mtaji. zamani nilikuwa siamini hivyo, niliamini biashara ni mtaji, na ilinichukua miaka mingi sana hadi nilipogundua kuwa kumbe ninaidanganya akili yangu. kwanini...
  3. HONDA XL

    Anatafutwa msimamizi shamba la Mpunga

    Nadhani Pm yako ndo imefungwa. Maana iko na lock, naiona ila hairuhusu reply. za wengine zote tunachati vizuri ila kwako tu reply haikubali kuna icon ya kufuli. waweza tuma sms kwa namba hiyo pia. au kunibip, nitakupigia.
  4. HONDA XL

    Anatafutwa msimamizi shamba la Mpunga

    Maelezo zaidi tukutane pm au kwa namba tajwa hapo juu.
  5. HONDA XL

    Anatafutwa msimamizi shamba la Mpunga

    habari ndugu zangu. natafuta msimamizi wa shamba la mpunga. majukumu ya kazi. 1. Kusimamia shughuli za shamba la mpunga lenye ukubwa wa ekari 150 kwa kuanzia ulimaji, upandaji, palizi na uvunaji. 2.kusimamia watu wa chini yake watakao kuwa wasimamizi wa vipande vya eneo la ukubwa wa ekari 50...
  6. HONDA XL

    Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    Chasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu. Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo...
  7. HONDA XL

    Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Kwa udongo wa aina gani? Yeyote anayekwambia kiasi cha ekari kwa masaa bila kutaja aina ya udongo, hawezi kuwa sahihi. Mi nina uzoefu wa udongo wa mfinyanzi mweusi na kichanga. Kwa udongo wa mfinyanzi mweusi unaopasuka kiangazi, hakuna trekta ya kulima ekari 30 hata kwa masaa 24 kwa shamba...
  8. HONDA XL

    Taarifa ya Serikali kuhusu kuadimika kwa bidhaa ya mafuta ya kula

    Alizeti, inazalishwa ndani, haitoki nje.
  9. HONDA XL

    Taarifa ya Serikali kuhusu kuadimika kwa bidhaa ya mafuta ya kula

    Kwa palm oil, hoja sio kulinda viwanda vya ndani maana hayapo na ni lazima tu yawe imported, aligusia pia kuwa amegundua wafanyabiashara wanachofanya, Metl na wenzake, wanadanganya ni cruid oil wakati ni refined wao wanakuja kufanya packaging tu, na sometimes wanaingiza hata rejected oil.
  10. HONDA XL

    Taarifa ya Serikali kuhusu kuadimika kwa bidhaa ya mafuta ya kula

    Mafuta yote ya korie na safi ni mafuta ya mawese kama ulikuwa hujui. Pengine ulizoea kwa kiinglish palm oil. Ndo mafuta ya kula yanayoigharimu serikali fedha nyingi kuyaagiza toka nje.
  11. HONDA XL

    Shida iko wapi kwenye kujiajiri

    hapa umenena. zamani hata Mimi nilikuwa nawaza ina that way! kwamba kwa mipango yangu ya mambo makubwa Sina mtaji. nikaja kugundua naidanganya akili yangu mwenyewe. maana niligundua nawaza mipango ya mtaji wa milioni 50 wakati hata milioni 5 Sina, nikagundua hizi ni ndoto za mchana...
Back
Top Bottom