Recent content by HON_KIHAJO

  1. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Angalizo; CHADEMA mchunguzeni mbunge wa Arumeru Mashariki,anashawishi madiwani wenu kujiuzulu

    Hivi Tanzania kuna CHAMA kinaitwa CHADEMA tena, hicho CHAMA kipo kweli? Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  2. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

    Unamfahamu profile ya Prof. MRUMA? au munaendeshwa na mihemko ya kisiasa, inasikitisha sana kama kuna mtanzania anweza kulaumu report ya MRUMA, huwezi kuacha Kuisema vibaya repoti hiyo kama: 1.miongoni mwa uchumi wako ulikuwa una TEGEMEA hayo makinikia ya wizi. 2.Unanufaika kupitia kwa fisadi...
  3. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Mheshimiwa Rais hajui maana ya uzalendo

    MSIGWA tumemzoea, alisema anemuunga mkono LOWASA akapimwe akili, sasa yy akamiongoni mwa wanaomsifia Lowassa, je huo nao uzalendo? Wanamnyanyasa MZEE wa watu pale Iringa, kwa KUVUNJA nyumbani YAKE na kumtolea maneno ya vitisho .katika MTAA wa ilembula, kisa mwenyekiti wa MTAA waligombania kiti...
  4. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kuoka mkate ni sh. ngapi?

    Naomba mnisaidie, nina shida na machine za kuokea mikate, being zake, kulingana na saizi, ikiwa na mashine ya kuchanganyia, na kukatia mikate ikiwa mpya au used.
  5. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    CV ya Makonda , sio ya mapishi wala ya umesenja. Ulizebi vyengine ila sio CV YAKE, Musitie aibu watanzania, kuwa tuwashamba kiasi hicho, yani unachukua picha ya zamani ya Makonda ,unatuambia watu wanasahau walipotoka , yani logic yako ni nini? Nini maana ya maendeleo, ulitaka hiyo nafasi...
  6. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Namkubali sana kamanda wangu SAIMON sirro. Hanaga siasa.
  7. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Salamu mpya ya CCM

    Umekosea kukoti HIYO salami , " kidumu chama cha Mapinduzi, kidumu kutoka madarakani" tasafiri yako haina ueledi. Ungewauliza wana maana gani. Watanzania tu naelekea wapi, yani tunachokisikia ndicho tunarepoti, Mwenye utashi angeuliza hivi hii salami unamaanisha nini , iliujibiwe na uerekebishwe.
  8. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kapatikana na bangi

    Acha kuichafua nchi yako, ww ni mtanzania kweli, kwenye mitandao kama hii usiitumie kupotosha umma, kwa nchi yetu sisi Watanzania tu napaswa kuipenda nchi yetu na kuhakikisha tunawasapoti jeshi la police. hatuwezi kujua umuhimu wa kalio mpaka tuote jipu , police hafanyi kazi ya kuwapa watu...
  9. HON_KIHAJO

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Ukiandika taarifa ihariri kwanza, na useme hayo maneno umepewa na nani, munamuona tundu lissu kila anachoongea kinamantiki.hembu tuheshimu Taifa letu hili , ifikue wakati tusapoti maendeleo sio kukashifu viongozi wetu wa serikali.
Back
Top Bottom