Recent content by hon daniel killion

  1. hon daniel killion

    Biashara Ya MTUMBA Grade 1

    Habari wakuu, Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa bora kwa vijana wa mjini. Nahitaji ushauri na mawazo mapya kuhusu mambo yafuatayo: 1. Njia bora ya...
  2. hon daniel killion

    Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Labda hatujaelewana, kwanza forex ni nini?
  3. hon daniel killion

    Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Kama kwako ni ngumu na wewe usimkatishe mwenzako mafanikio
  4. hon daniel killion

    Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Unacheka tena Kitimoto 😂😂 ntakukula
  5. hon daniel killion

    Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Forex trading, kwa siku utapata faida sio chini ya 300K kama unaielewa kama mimi
  6. hon daniel killion

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamaa ako anazingua, kazi kuchekacheka kama😂😂
  7. hon daniel killion

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Faida tu, hasara ahh😂
  8. hon daniel killion

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa ata mm huwa napapenda
  9. hon daniel killion

    Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  10. hon daniel killion

    Nahitaji kufahamu ada ya MUHAS kwa upande wa Diploma Level

    Mwenywe kuelewa fees structure ya diploma course za MUHAS mfano nursing, lab, orthopaedic technology na diagnostic radiology naomba aniambie please
Back
Top Bottom