=====================
UPDATE:
SNP wamewafuta Labour na Lib Dem ndani ya mipaka ya Scotland kwa kushinda wabunge 56 kati ya jumla 59 (kutoka wabunge 6 tu uchaguzi uliopita 2010). Labour wameambulia mbunge moja tu, wamepoteza vigogo 40. Lib Dem nao wamepata mbunge moja tu na kupoteza vingunge...
Kama hii hapa, nikuwekee kwenye FEDEX + charges.
3546-8444 - Dell Vostro 15 3546 - 15.6" - Core i3 4005U - Windows 7 Pro 64-bit / Windows 8.1 Pro 64-bit downgrade - 4 GB RAM - 500 GB HDD - PC World Business
CYBERTEQ inaonekana ni nyumba ya kwanza ndio maana anachemka hivyo. Hajui watu wanatafuta pango kwa sababu ya mipango ya maisha na sio kwa sababu hawana hela ya ujenzi.
Aisee wewe hovyo sana. Hivi atakayekubali uwe landlord wake labda awe mwanafunzi asiyekuwa na alternative. Ushauri mzuri, unatemea mate. You are an idiot, lakini you aren't the first - nimeona wengi tu humu wenye tabia kama yako. cc: Kaka Dalali
Kaka Dalali - if those are your metrics of manhood, then I am really out; I have no idea why this type of people still exist. Unataka biashara, halafu unaringa. Sad.
Kwanza,
Kinachofanya bei ya gari kuwa kubwa sio jina tu, bali add-ons (vikolombwezo ambavyo kila mtu anataka).
Base price inaweza ikawa £15,000 kwa basic model, lakini zingine zinaanzia £27,000 bila luxury accessories.
ukiongeza vifaa mbali mbali vya ndani ya gari vinaweza fika mpaka...
Kifai umechelewa wapi? Mbona biashara au organ donation ya figo, maini, ngozi, n.k ni kitu cha kawaida sana siku hizi kwenye nchi zilizoendelea? Especially kama mtu amekufa kwa ajali ya gari madaktari wanawahi kung'oa viungo kabla havijapoa. Hapo ni zaidi ya artificial transplants: metal...
Naomba nirudishe tena hili swali:
Tutawezaje kukomesha hii tabia?
Je, ni watoto wangapi wamepoteza maisha yao bila kujulikana?
Ukweli ni kwamba kama kila mtupaji wa hawa watoto angekuwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, huu ukatili ungeshakoma zamani.
Soma kwa mfano:
1)...
Does anyone know whether this company is still involved in bus/coach building business and what are their rates?
Co Website is pretty basic: Welcome to Quality Group :: QML
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.