Recent content by Homeland

  1. Homeland

    Kili music awards

    Vipi 20% mwaka huu yumo au bado yupo Kitanzini?
  2. Homeland

    Kweli maisha mzunguko! Dogo Janja awapigia magoti TipTop na kuomba msamaha

    Ananikumbusha enzi za Muumini Mwinyijuma na Wanatamutamu to Mchinga Sound then akarudi kwa mbwembwe.
  3. Homeland

    Ridhiwani Kikwete awapa siku saba waliomshutumu ni billionea kupeleka ushahidi Mahakamani!

    Ama kweli mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe, ni ajabu Mtoto wa Mwanasiasa kuwa Mwanasiasa lakini ni Fahari na sifa Mtoto wa Daktari kuwa Daktari. Cku zote maji hufuata Mkondo wake na kamwe huwezi kuziba njia ya Panya kwa Mkate Go Ridhiwani Go its your time now.
  4. Homeland

    Ney Wa Mitego: Namchukia Ostaz Juma, Hata Salamu Yangu Siwezi Kumpa

    Huyu Jamaa Ustaz Juma bora jina lake likomee hapo hapo may be ajiite Ustaz Juma na Matapeli. Musoma hakunaga Ujinga wa hivyo.
  5. Homeland

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Hongera Mh Riz One Karibu Mjengoni cku c nyingi.
  6. Homeland

    Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

    From left to right Irene Uwoya (Temeke), Wema Sepetu (Kinondoni), Sara Kangezi (Lindi), Joketi Mwegero (Temeke) na Lisa Jensen (Mara) Siongezi wala sipunguzi chochote naomba kuwakilisha.
  7. Homeland

    Washiriki wa Miss Tanzania 2006 hawaoleki? Ni watu wa media sana na ufuska?

    Hii ndo Top Five ya Miss Tanzania 2006 katika picha. Picha kutoka Maktaba.
  8. Homeland

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Wapi Mch Abiud Musholi? Bora Hayati Nyerereee, Bora Mh Mwinyi, Bora Mh Mkapa, Bora Dr Kikwetee. Nimekumbuka tu wimbo wake huo maana ya leo nafuu ya jana bora kukuche.
  9. Homeland

    Nimetapeliwa laki na nusu kwa ajili ya kutafutiwa kazi

    Nimeipenda hii, infact nomanya ashomire mpaka University and and no Job.
  10. Homeland

    Malumbano CCM: Kiyabo amjibu Makonda

    Ama kweli chocheeni kuni mbichi moto ukolee, ugali uivee, mnachotaka kitokeee...!
  11. Homeland

    Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

    Pamoja na maelezo yooote bado Mwigulu atabaki kuwa Mwigulu Nchemba na Usomi wake.
  12. Homeland

    January Makamba leo ni siku yako na haya ndo maneno yako

    Happy Happy Birthday Mh January wa Makamba, sasa unatimiza miaka 40 kamili nadhani katiba inaruhusu kutimiza ndoto zako tangu uione dunia hii 28th January 1974.
  13. Homeland

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Sio kwamba huruhusiwi kukaa katika "Emergency Exit" suala ni utayari wa kupokea maelekekezo ya namna ya kuutumia mlango wakati wa dharura.
  14. Homeland

    Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

    Mkuu msg send & let it be received, cku zote wa mbili havai moja. UMEELEWEKA.
  15. Homeland

    Inauma sana, asikwambie mtu

    Niliulizwa tu kwamba unanidai, nikajibu hapana, tumegombana, hapana. Nikaambiwa kama KITU ni hapana kuanzia leo mm na ww basss. Nimempata mwingine wa size yangu cwezi kuwa na ww anymore kwaheri. Kikubwa ilikuwa ni kipato tu ndo kilinitenganisha nae but wazungu waliposema time will tel...
Back
Top Bottom