Recent content by homeboy praygod

  1. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG hufanyiwa kazi baada ya muda gani?

    Naomba kufahamishwa hivi hizi ripoti za CAG, huwa zinachukuwa (siku ngapi, miezi, miaka mingapi) kufanyiwa kazi? Naona imekuwa ikisomwa kila mwaka lakini hakuna uwajibikaji wowote ule kwa wizara na watumishi wanaofanya madudu zaidi sana wakija kwenye bajeti wanaongeza fedha kwenye wizara zao...
  2. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa, zama zimebadilika

    Kaka naumia sana haya mambo yanayoendelea hapa Nchini, ni kama hakuna mtawala kila mtu anafanya anavyotaka
  3. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa, zama zimebadilika

    Wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu sana, kuhujumu uchumi, Kula Rushwa/Kutoa Rushwa, kula fedha za miradi ya serikali. Ahadi za Uongo na Mambo mengine mengi ya hovyo kwa kutumia Kivuli cha "tupo serikalini hakuna mtu wakutugusa". Wanasiasa bado wanaona watu tupo kizani Ukweli ni...
  4. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

    umemaliza mkuu, hapa ni kuchukua hatua tu.
  5. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

    Mama catherine anataka akakae na mke wako sehemu salama[emoji1787][emoji1787]
  6. homeboy praygod

    JamiiForums Tanzania Sitaki wamakonde tena, nimekoma Jamani

    HAHAahahaaaa.....! oh pole blaza
Back
Top Bottom