Eti nyerere alivyokuwa raisi uchumi ulisimama kivipi embu tueleze kwa sababu tulikuwepo enzi hizo tunakunywa uji wa chumvi kwa kukosa sukari ,tunavaa kaniki kwa kukosa nguo kwa mtu aliyetawala miaka25
Swala la uchumi kuimarika wakati wa nyerere unatudanya inaonekana haukuepo unatawalia na chuki za kidini wakati wa nyerere madukani bidhaa zilikuwa adimu na maisha yalikuwa magumi kinoma sasa huo ndo uchumi ulioimarika usitake kudanganya watu hapaa na frustration zako hapaa
Wewe ntamaholo unafrustration tuu za maishaa hivi unafikiri waislamu ndo wachawi wako sio kweli mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe Fanya kazi na uwe mbunifu frustration zitaishaa tuu
Katika Imani yetu sisi mtu mbora ni yule anaefuata maagiza ya mungu ni tofauti na nyinyi manaswara mtu mbora kwenu huwa anatoka katika kabila Fulani au rangi Fulani kwetu sisi kwenye dini ya mwenye mungu mtu bora ni yule anyefuata maarisho mwenyezi mungu
Siku zote human being you will reap what u have sworn hawa jamaa walioandika katuni wamevuna walichopanda huwezi kulima mahindi ukavuna mtamaa na hakuni kitu chenye nguvu kama Imani ya mtu ni kitu chenye nguvu kuliko hata nucleur bombs
Hivi hivi nchi kila kabila likijifanya wajuaji kama akili zenu zinavyowatuma nchi hoi itatawalika kwelii amuangalii nchi kama Nigeria watu wanavyouanaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.