Recent content by Home First

  1. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

    Sana kwa kweli hawachelewi kuzeeka
  2. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Mwanamke anayezungumzia pesa, pesa huyo hata ukimuoa ukiwa na pesa wakati zikitoweka atatafuta chaka lingine lenye pesa. Kufupisha mambo yasiwe mengi mwanamke huyo hafai maishani hao ndo wanaofanya wanaume kuwa matapeli na majizi ili mke aridhike.
  3. Home First

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

    Tatizo kuchagua sura na pesa.
  4. Home First

    JamiiForums Tanzania Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Mimi sijawahi ona bado
  5. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Pumzika tu usiende lakini sababu ya moja kwa moja ambayo inakuhusu ili usiende sijaielewa hapa maana umejumuisha tu.
  6. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

    Nitaendelea kusoma baadae kidogo
  7. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Pole sana mkuu, hapa nakumbuka maneno ya mdogo wangu kwamba mwanamke hapewi pesa ili atunze bali huachiwa matumizi ya siku(kodi ya meza).
  8. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Uvumilivu ni kitu muhimu sana
  9. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameniomba elfu 50, nimemwambia nimchakate miezi miwili ndipo nimkabidhi

    Haya furahia maisha lakini haina Baraka hiyo pesa na nadhani kama huyo mwanamke naye hana shida na hiyo pesa isipokua ameona njia ya kukupata ni hiyo sasa sijui nani ni nani hapo.
  10. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kwako unaichukuliaje?

    Zingatia maandiko ukiona unaumia au utaumia basi usimruhusu kuolewa, mbona rahisi tu hiyo na ukubali kulea wajukuu hapo kwako.
  11. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Nini unamaanisha mleta mada
  12. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yuko Bafuni Muda huu...

    Nina mashaka na hii picha
  13. Home First

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Unawezakua kitega uchumi wake.
  14. Home First

    JamiiForums Tanzania Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

    NOTED
Back
Top Bottom