Recent content by homboyz

  1. homboyz

    JamiiForums Tanzania Jaman naomben msaada wa ku apply field caurse ya Mechanical Engineering

    Kaombe nafasi VETA chang'ombe, TBL au Twiga cement kwa dsm utajifunza vingi sana
  2. homboyz

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
  3. homboyz

    JamiiForums Tanzania Good Morning Afrika ya Wasafi Media: Kipindi kipya chini ya Charles William, Salma Dacota na David Rwenyagira

    Wait for contents, majina hata watu hufanana CG
  4. homboyz

    JamiiForums Tanzania Good Morning Afrika ya Wasafi Media: Kipindi kipya chini ya Charles William, Salma Dacota na David Rwenyagira

    Charles William ameondoka East Africa tangu mwezi wa 11 mwaka Jana Huyo uliyemsikia Jana atakuwa mwingine sio Charles William
  5. homboyz

    JamiiForums Tanzania Good Morning Afrika ya Wasafi Media: Kipindi kipya chini ya Charles William, Salma Dacota na David Rwenyagira

    Aaah Naona ndo type zako hizo Kinaisha saa 1:30 asubuhi
  6. homboyz

    JamiiForums Tanzania Good Morning Afrika ya Wasafi Media: Kipindi kipya chini ya Charles William, Salma Dacota na David Rwenyagira

    Kuanzia wiki ijayo Wasafi Media wanatarajia kuanzisha kipindi kipya cha asubuhi kitakachoruka kuanzia saa 11 asubuhi asubuhi mpaka saa 1 na nusu asubuhi, hii ni katika kuboresha na kuzidi kuijenga media yao. Na kama wasemavyo Wasafi hawana shughuli ndogo katika hili tayari wameshawaandaa...
  7. homboyz

    JamiiForums Tanzania Dully sykes: Wasanii wengi hawajitambui

  8. homboyz

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Barnaba Classic kwa kazi hii

Back
Top Bottom