Recent content by Holy Trinity

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mashindano yote ya CAF kama Afcon yachezeshwe na marefa toka Ulaya. Afcon should use European referees

    Unamaanisha akina Michael oliver sio
  2. H

    JamiiForums Tanzania Uislam ndio dini bora

    Dini ya copy na kupest, Quran inataja idadi ya miezi 12 ambayo warumi waliitumia kabla ya hiyo koran
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    Masikini wa chini kabisa anapewa wanawake wawili bikira peponi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa

    Muhamad alikua kiongozi wa dini, vita, mfanyabiashara
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rostam: Umasikini siyo jambo la kujionea fahari

    Bei ya gesi anayotuuzia Tz ni sawa na anayouza Kenya?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Hakika ni za kwetu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

    Singida vs Yanga, Aucho majeruhi, chama yuko Zambia matatizo ya kifamilia
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni zawadi Kwa mwanaume, sasa nitoe mbuzi 50 halafu watu walishaitoa zamani
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Kwa ninavyojua mahari ni sheria ya zamani ambapo mwanamke alikua bado ni mwanamwali hadi kuolewa, Sasa inakuaje Kwa ulimwengu huu wa Sasa mwanaume utoe mahari Kwa mwanamke ambaye sio bikra? Kifupi mwanamke bikra pekee ndio anafaa kutolewa mahari
  10. H

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Alichambua Kwa hisia zaidi ya uhalisia
  11. H

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Mwenyekiti wa wafanyakazi wa local government[emoji2] Bakini huko huko , mnataka kuja huku central halafu nani ahudumie wananchi wanyonge
  12. H

    JamiiForums Tanzania Simba kupoteza tena ama kutoa sare dhidi ya Prison

    Kwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akibadili majina vyeti vyake na NIDA bado vinabaki na majina ya zamani?

    ID inabaki kuwa Moja tuu kinachobadilika ni jina tuu maana vingine kama picha, fingerprint na records zako zote ni zile zile Na kubadili jina iwe ni mara Moja tuu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akibadili majina vyeti vyake na NIDA bado vinabaki na majina ya zamani?

    Tupo kwenye sayansi na teknolojia tuachane na uhafidhina
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akibadili majina vyeti vyake na NIDA bado vinabaki na majina ya zamani?

    Ni kama vile hiyo huduma hai exist sana sana ni kuleta usumbufu
Back
Top Bottom