Recent content by holy holm

 1. holy holm

  Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

  Mkuu usisahau kwenda kisongo kumtembelea 7ya alafu ukitoka hapo nenda Tembo club kuna totozi hatar sana
 2. holy holm

  Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

  hapo mnafurahi wenyewe 😂😂 ila mataga bna
 3. holy holm

  Tusiligeuze Taifa letu kuwa la wamachinga, huu ni mtego mbaya wa umaskini

  Unajikuta sana kumbe ni hamnazo Mataga wewe.
 4. holy holm

  Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

  kwa hyo hapo akili yako ime ning'inia
 5. holy holm

  Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

  ningeshangaa kama mbowe usingemtaja 😂
 6. holy holm

  Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

  kwan kaburini hayupo 😂😂
 7. holy holm

  Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

  Sema Mungu ni Fundi na anajua kupangilia viumbe vyake, kuna yule nyoka mwingine anaitwa water snake yeye yupo sana kwenye maji baridi sana kwenye maziwa na mito. Haka nako kwenye top ten ya nyoka hatari kamo ni mkubwa kuliko huyo Sea snake ila na yeye pia ni mpole mpole. Huyu nilishamshuhudia...
 8. holy holm

  Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

  Ndio mkuu ndo maana nimesema kuwa aka kajamaa hua akaoni umuhimu wowote kuharbu sumu yake bure kwa kitu ambacho hakimpi faida.
 9. holy holm

  Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

  kuna kile kinyoka cha majini kinaitwa sea snake kinaumbo dogo dogo tu lakin sumu yake sio ya nchi hii.Nilisoma mahali kuwa ndo kanaongoza kuwa na sumu kali na hatari kuliko vinyoka vyote. Sumu yake inauwezo wa kuua binadamu 500 n.k kwa wakati mmoja kama wasipo pewa huduma haraka. Good news ni...
 10. holy holm

  Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

  Sema wajita kwa umbea ni noma sio ke wa me.Ila komesha ni Wakwaya hawa hawapendi maendeleo ya watu ni waongo, wanafki na wachawi.Yani ukiwa na tabia mojawapo kati ya hizo utasikia wanakwambia unatabia za kikwaya. Alafu wajita hawapakani na wakurya kwanza wako wilaya tofauti.Wakurya wanapakana...
 11. holy holm

  Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

  duh...pole sana, kiukweli hii biashara inafaida sana tena kipindi hiki cha likizo ya watoto mambo hua ni bum bum. Me pia nilishapata huo msala mwaka juzi.Siku hyo niko ofisini midaa ya mchana sina hili wala lile akaja Mama mmoja na boda.Alivyofika ofisini akaniuliza kama mimi ndo muhusika...
 12. holy holm

  Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

  me nilikua na danlodia magemu huko hatar sana
Top Bottom