Recent content by Hollo

  1. Hollo

    Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

    Naona JK kaamua kuwa Rais wa awamu ya 6.
  2. Hollo

    Maulid Kitenge ni tajiri kiasi gani hadi asafiri mataifa mbalimbali kiasi hicho?

    Punda huyo. Ipo siku atakuwa kwenye 18.
  3. Hollo

    TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

    Unataka uende kwenye mazishi ?
  4. Hollo

    TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

    R.I.P dada. Ikute uliwekewa sumu kwenye sahani yako.
  5. Hollo

    CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

    Kweli Magufuli alikunyoosha. Naona Umerudi JF. Back to the topic,kumbe pesa wanachukua ?😂😂😂
  6. Hollo

    Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Hivi kumbe zilianza kama tetesi ?Ka yale yajayo ya TOCHA.
  7. Hollo

    William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

    Huyu atakuwa alikuwa na pulmonary Odema. Nilisoma mahali kanyonywa maji kwenye mapafu. Na hii inasababishwa na pressure kwenye left ventricle.
  8. Hollo

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Punda Huyo plus bisexual. Ila pia labda kweli Morrison ana ugomvi na coach.
  9. Hollo

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Huu uvumi sijui nani aliuanzisha.
  10. Hollo

    Hii Coming 2 America sijaielewa...

    Mbovu kweli. Kilichonipendeza ni mavazi tu na washiriki. Ila story mbaya sijaelewa kwa kweli. Nimepoteza 12$ za bure.
  11. Hollo

    Al Ahly 2-2 AS Vita | CAFCL

    Kama Simba walivyologa. Kuna mpira ulipiga mwamba mara mbili.
  12. Hollo

    Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    Kama ilivyokuwa kwa Simba leo.
Back
Top Bottom