Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Jana imeangalia hii movie na hamkuwemo wimbo wowote wa Diamond.
Wimbo ulio kuwemo ni wa Davido. Na nikaangalia list ya nyimbo mwishoni mwa movies hakuna mahali Diamond ametajwa.
Msidanganye haukuwemo
Hapo awali ilisemekana allan kingdom rapper mcanada mwenye asili ya Tanzania nyimbo yake itakua mojawapo ya soundtrack za coming to america 2,labda mondi ndio alitaka kutembelea nyota ya jamaa
 
Skytz kajaribu kuelezea kilichotokea kwenye simulizi za sauti labda muende kule ndo mtaelewa
 
Back
Top Bottom