Mwaka jana 2014 Julai vyuo vya serikali vilichukua Div I - III. Vyuo vya private viliruhusiwa kwa mwaka huo tu kuchukua Div. IV ya aidha point 27 (zamani) au 32 ya BRN. Mwaka huu kwa vyuo vyote itakuwa Division I (Distinction), Division II (Merit) na Division III (Credit). Ualimu wa Division IV...
Ninakuunga mkono Mnyama k kwani nilidhani niko peke yangu. Watz tumezidi sana woga. Maelezo yote hayo yalistahili kutolewa siku nyingi na sio leo baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.
Mhhh Yodoki II. Unasifia chuo cha Marangu kwa nje. Vyoo vilivyo karibu na ukumbi wa mikutano unavifahamu? Mabomba yanamwaga maji ovyo, vyoo vimeziba, ili mradi taabu mtindo mmoja. Ni sheeeeeeda.
Enter Your form IV index number
.
.
Enter Security Code as it appears on the right
The student with Index number 'S0738.0130.2011' did not secure a higher education loan for 2014/15 academic year.
:cool2: BUT :embarrassed: Uliona wapi sikio la binadamu likakua kupita kichwa??? Katika ujumbe wako wa siku ya Jumapili tarehe 28.09.2014 saa 3.29 usiku, mh. KIROROM, ulimlaumu Afisaelimu wa Manispaa ya Moshi kwa kukuandikia barua ya kuchelewa na kutokua kazini. Pia ulitishia kuomba mwongozo...
:hurt: Vyuo vya serikali havitaendesha mafunzo ya IIIA tena. Badala yake hivi sasa vinapokea wanachuo wa Stashahada kama inavyoonekana kwenye tovuti ya NACTE. Vyuo binafsi bado vinaendesha mafunzo ya IIIA. Mwahishe mdogo wako katika vyuo hivyo.
:sleep: Chum Kane kakwambia too late. Nami nakwambia pole sana kwani jana 31.08.2014 ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kujisajili. Fedha hairudi. Ajaribu mwakani.
Ndugu yangu Ndebile hii ndio taabu tuliyo nayo katika nchi hii. Kama kweli ni mwalimu, basi hapa tuhesabu 0 kwenye hiyo BRN. Jamaa hata kupanga mawazo kwenye aya hawezi. Kufuata vituo hajui. Mtiririko wa mawazo ni matatizo. Alichojua yeye ni kutoa jakamoyo linalomsibu katika moyo wake.
Ushauri...
:welcome::welcome::welcome:Both honey and lemon are acclaimed for their multitude of health benefits. Both have antibacterial and antioxidant properties which boost the immune system. A combination of honey and lemon works together to reduce weight and promotes healthy skin and hair. Some of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.