Recent content by HOlDeR

  1. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    kwa hiyo yuko hai!? huyo sheikh
  2. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kujiuza Mwanza ni kero, Mamlaka na Polisi wanapotezea, Watoto wanashuhudia mambo ya ajabu

    Ah weee Nilifungua mwenyewe mlango Kiongozi
  3. HOlDeR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Duh basi labda wenu saizi tunatoka kusifu na kuabufu na shemeji yenu Msukuma
  4. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya biashara au deals Dar zenye thamani ya kuanzia milioni 5 kwa move moja basi usipokee cash, tumia bank au cheque

    Mchawi namba moja ni yeye mwenyewe kwann asiende kuweka bank yeye kama yeye!?
  5. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu chuo mwaka huu; mtaji wa Tsh. 500,000 naweza kufanya biashara gani?

    Karibu sana kaka Ila umechelewa msimu wa kulima Wa mwezi wa 10-11 subiri wa mwezi wa Pili unatumia laki yako Moja tuu kukodi shamba Mbegu mbolea na kila kitu, Mimi nilianza kama wewe na mtaji wa laki 1 nikalima hekar 1 mahind sasa nalima hekar 9, Akili kichwanii ung'ang'anie Mjini au uingie...
  6. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kula wali?

    Inawezekana dhahiri shahiri Bado hujakutana na Punje lililo nyooka la kwenye msiba
  7. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi na mfanyakazi kama rafiki wa karibu

    Hapo kwenye kubahatisha Ndio mtihani Kuna mmoja nilimwambia apunguze kupika vikombe 4 vya mchele maana tumebaki watu 3 tuu ka kasirika anataka kuondoka yan.
  8. HOlDeR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Point hii izingatiwe😅😅
  9. HOlDeR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Hahaha Hawa wa siku hizi Kukojoa Labda wanywe Bia nyingi Kila mtu ana mawazo ahongwe Range
  10. HOlDeR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Duh yani no Fore Play 😭😅😅
  11. HOlDeR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To all beautiful single souls

    Kwakweli tumepata Faraja Ma singwengwe 😅
  12. HOlDeR

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari used

    Toyota SUCCEED inasimamaje!!??
Back
Top Bottom