Recent content by hojesi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Rav4 slow acceleration

    Jaribu pia kutumia petrol fuel treatment kwa ajili ya kuzibua fuel jets kwenye mfumo wa mafuta, inawekwa unapoweka mafuta siyo chini ya lita 30, Total wanayo nzuri bei ni 10,000 tu. Pia jaribu kubadirisha fuel filter ni ya chuma itakuwa inauchafu mwingi likishindikana hilo la kwanza.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Panya road na hatima ya Tanzania

    Mbona umeongea ukweli sana, serikali isipochukua hatua lolote linaweza kutokea.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    Malizia basi
Back
Top Bottom