Recent content by hojazamsingi

  1. H

    JamiiForums Tanzania TREVO: Je ni kweli inafanya kazi au ni utapeli?

    Zaidi ya utapeli Wizi tuuuuu
  2. H

    JamiiForums Tanzania HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Bodi ya mkopo kwa wanafunzi wanaboa sana unakuta watoto ya tima na walemavu wananyimwa mkopo Kwakweli hawa wafanya kazi wa dodi hii wamechoka kazi, Magufuli anajitahidi sana kukusanya hela kwa majizi lakini wao bado wanabania hela hadi kwa mayatima na walemavu Magufuli naomba ulitambue hili...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna chuo kinachotoa elimu ngazi ya PHD?

    Wewe unaishi tz au
  4. H

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya mkopo wa HESLB kwa wanafunzi

    Saidia hata rafiki zako ambo hawana na wenye maisha magum kwan kunawengine hawashidia chai ya 500 kwa siku
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar unachelewesha kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri

    Nyi wakitolewa viongozi wabovu ndo wakwanza kulalamika eti wanaonewa acha mikataba iwekwe
  6. H

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Tanzania ni jibu linalotakiwa kutumbuliwa

    Rais Magufuli naomba hata kesho nenda heslb ukatumbuwe majipu maana ukiyaacha yataharibu system nzima,
  7. H

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ndiyo mkuu jipu lazima nitumbuliwe maana ukiliacha litaumiza mwili wote Rais nenda UDSM kunamajipu mengi sana Fanya hivyo ili wakalabati na majengo maana yanatishaaaaaa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli: Nyumba iliyozuia mradi mkubwa wa Maji Dar yabomolewa

    Wewe nawe, kwani kipindi anajenga hakuwa na macho watu kama hao wanaokwamisha huduma zakijamii dawa yao ndo hiyo, kama nawewe ni miongoni lazima uisome namba
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Magufuli Rais wetu hivi ulikuwa wapi toka zaman kuwa Rais. Mungu akuongoze na akuelekeze watu waovu wanaonyonya mali za watanzania
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Watu wamezoea kufanya kazi kwa mazoea sana,
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Kama na wewe ni miongoni mwa wafanyakazi wabovu kama hao utaisoma namba, Acha watu watibuliwe maana hamna namna
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Walisha vuna sana hela za watanzani, wametosha
  13. H

    JamiiForums Tanzania Continous students ambao walikosa mikopo

    Heslb mwogopeni Mungu, watu huku tunalala njaa, kama government haijatoa hela bora mtwambie,Rais wetu Magufuli naomba uende heslb hata kesho,
  14. H

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Wewe ulisha pata mkopo?? Angalia lot ya 5
  15. H

    JamiiForums Tanzania Hivi lower second with honours ya udsm ni ndogo sana au haina soko hapa tanzania?

    Mkuu wakati mwingine pga waangalii sana kwan unaweza kuwa na pga ya 4 .5 lakn kwenye interview ukafanya majanga na mwenye gpa ya chini yako akafanya vizur zaidi hapo lazima mwenye gpa ya 4.5 lazima utemwe tu na wakukushangaa sana kwan sikuzote mtu akiona una gpa nzuri anategemea utafanya vizur...
Back
Top Bottom