kimbweta cha udsm
Member
- Nov 9, 2014
- 35
- 2
kwani mkuu walisema wanachakata?? kwani nami ni muathira japo in otherway round..
baada kuwafata ma loan officer walidai kwamba mfumo ulotumika mwaka Huu ni tofauti kidogo kwa hiyo suala letu limepewa muda kabla appeals hazijaanza tutakua tumearifiwa lakini swali kwao ni Lin? na je hawajui km vyuo usajili unaendelea