Ukiangalia jumla ya mapato ya kimkataba yanaytangazwa na uhalisia wa kinachotokea unapata picha ya Ile concept ya kimahakama kwamba mtuhumiwa amehukumiwa kifungo Cha miaka themanini Kwa makosa kama kumi hivi ila hukumu ya makosa yote ataanza kuitumikia Kwa pamoja,mwishowe anadum gerezani Kwa...
Natafuta wimbo flani wa banana zorro sehemu ya wimbo huo unaimbwa
Napiga simu hapokei...
Akipokea haongei..na akiongea ananikaripia
Anapenda kubembelezewa na maneno matamu kuelezwa
Lakini nashangaa mbona hanipi nafasi ningee nae,nimwimbie nyimbo nzuri za mapenzi...
Kaka hongera Kwa mapambano ya mradi,katika kipindi kama hiki naamini umeshaandaa meoneo ya kutagia,Sasa chukua mayai Yale ya plastiki fanya kuwawekea kwenye huto tuvyumba twa kutagia,wanadai inasaidia kuchochea Hali ya kutaga Kwa kuku anaelekea kuanza kutaga...pia chunguza kama wameanza Ile Hali...
Kwa ndaaaaaaani kabisa.....refa alikuua ana nia ya dhati kabisa ya kuwalinda Azam sio tu dhidi ya hilo goli halali lakin hata hiyo faulo..BIASED FROM THE START OF IT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.