Recent content by HKBW

  1. HKBW

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

    Ila wao ndio watudharau eeenh...!?
  2. HKBW

    Serikali yaeleza sababu ya daraja la juu VETA kupinda

    Mbona la Tazara halipo hivyo, limepinda halafu pia lipo upande.
  3. HKBW

    ITV wahojiwe kwa utapeli

    Wacha kukurupuka, kama umetapeliwa nenda kwenye vyombo vya sheria ili sheria ifuate mkondo wake na sio kuja kubwatuka hovyo tu hapa.
  4. HKBW

    Hivi hakuna namna hii Kesi ya Halima Mdee na wenzake ikamalizwa nje ya mahakama ili kulinda heshima ya muhimili huo?

    Mbona taarifa za hii kesi zimekuwa adimu sana!? Nini kinaendelea?
  5. HKBW

    Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

    Usilolijua ni kama usiku wa Giza. Nyie endeleeni kuwa na mashaka wakati wenzenu twala, tena kiulaini bila jasho wala bughdha. Yaani kuitilia shaka Kaylanda ni sawa na wapinga chanjo ya CORONA ambao hadi leo wanasubiri waliochanja wageuke mazombi.
  6. HKBW

    Tuwe makini na taarifa za mitandaoni

    Ujinga mtupu. Bora niamini mitandao kuliko hao mabaradhuli.
  7. HKBW

    Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Yaani ningekuwa karibu yake nafikiri ningekuwa lock up usiku huu.
  8. HKBW

    Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Kuna baadhi ya wanachi ni wajinga sana, baada ya kukataa tozo wao walikuwa wanasema ipunguzwe. Haya sasa ndio imepunguzwa hapo, kila mtu apambane na Hali yake maana serikali haitabana matumizi kamwe na wale waliokuwa wanataka ipunguzwe ndio wataendelea kuwa masikini. Wajinga ndio waliwao, a...
  9. HKBW

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Tunadhalilishwa kivipi? Au kwa kuwa wewe una V8 tena yenye tinted?
  10. HKBW

    Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

    Maswali mengi ni ya kijinga. Eti unauliza namba ya siku ili ujishirikishe kwenye tafiti. Kwani tulisajili namba za simu ili iweje. Hata hili zoezi la sensa ni la kijinga na upigaji tu kwani vyeti vya kuzaliwa, kifa na vitambulisho vya nida ninafanya kazi gani?
  11. HKBW

    Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Endeleeni kuipenda na kutufaidisha tulio wachache kwa ujinga wenu.
  12. HKBW

    Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

    Hakuna wizi ambao hatujawahi, kuujua, wacha tupigwe maana tumezoea kulalamika bila kuchukua hatua yeyote.
Back
Top Bottom