Recent content by HIZZBOLLAH

  1. HIZZBOLLAH

    Dodoma kumetulia utafikiri hakuna bunge

    Wabunge wetu hakuna anaeweza maana yy mwenyewe ubunge kaununua kama mtaji wa kujakuchuma
  2. HIZZBOLLAH

    TBC wakata matangazo wakati Meya wa Jiji akiongea

    Ila huku mkoa wa dodoma tumemsikia na kumwangalia live labda huko kwenu mitambo imeoza.
  3. HIZZBOLLAH

    Magufuli anakanyaga nyayo za Mwl. Nyerere na Sokoine

    Ni kweli Mzee Magu amafanya sana kazi huyo anaekosa pa kukosoa analeta habar za meli mara nyumba cjui anawaza nn mnaposhindana elewa mshindi lazima awepo, Mshindi anapofanya vizuri hunabudi kumsifia hata kam ni kinafiki. Magu ni noma sana maana hata yule mgombea mwingine asingefanya haya kwa...
  4. HIZZBOLLAH

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo TABORA urambo nije moro, Dodoma bahi, au pwani. Idara msingi-0783216082
  5. HIZZBOLLAH

    UKAWA, Bunge likianza mtatoka nje mara ngapi?

    Suluhu ya matatizo ni kulabiliana nayo moja kwa moja na si kuyakimbia ina maana Mumeo/Mkeo mkishindana unakimbilia kutoka nje, je kutoka kwako nje kunasaidia kupata unachokihitaji? We hv to think twice!.
  6. HIZZBOLLAH

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    RIP brother, makosa ya Uongoz huwa yapo afrika tu, unyonyaji, huwa upo Afrika tu, Mauaji huwa yanafanywa Afrika tu, Demokrasia huwa inahitajika Afrika tu, ndo maana hata kesi za Uongoz mbaya huko ICC, zipo za waafrika tu, Tunapaswa kujitambua Waafrika kwanza kisha tuchukue hatua! Marekani ameua...
  7. HIZZBOLLAH

    Aliyoniambia Mwalimu kuhusu Maalim

    Nimejifunza kitu juu ya Maalim na mwalimu
  8. HIZZBOLLAH

    Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    HAPA KAZI TU! Unajua palikua pamefikia KIBAKA nikiiba saa Jela miez tisa hawa MAFISIADI wao wanapeta tu mitaani Pu.....vu kabisa.:(:(
  9. HIZZBOLLAH

    Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    HAPA KAZI TU! Unajua palikua pamefikia KIBAKA nikiiba saa Jela miez tisa hawa MAFISIADI wao wanapeta tu mitaani Pu.....vu kabisa.:(:(
  10. HIZZBOLLAH

    Ni maumivu CHADEMA, Magufuli aacha kilio Kanda ya Ziwa

    Da...! Huyu Magufuli vip tena.
  11. HIZZBOLLAH

    Rais Magufuli awawakia wabunge wa CCM, ni katika mkakati wa kujinasua tuhuma za RUSHWA

    Respect Mzee magu.... Kumbe kura yangu haikuharibika inaonesha namna gani inavofanya kazi " Salute " .
  12. HIZZBOLLAH

    TRA yavuka lengo mapato ya Machi, imekusanya shilingi trilioni 1.31

    Hongera serikali yangu kwa makusanyo na uwaz hou. Tutasonga mbele tu.
Back
Top Bottom