singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Siku sita za mapumziko za Dr. Magufuli, mkoani Geitra, zimeacha maumivu makubwa kwa Chadema, siku sita hizo zimebadili kabisa upepo wa kisiasa Kanda ya Ziwa na kuua kabisa ndoto za viongozi wa Chadema ambao walidhani kumteua Mashinji kuwa katibu mkuu mpya kungefufua upya uhai wa chama hicho kanda ya Ziwa.
Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2015, Chadema walikuwa na wabunge takribani kumi katika mikoa ya kanda Ziwa katika majimbo , Ukerewe, Ilemela, Nyamagana, Mawsa mashariki na magharibi, Bukombe, Biharamilo, Meatu na Musoma mjini.
Lakini baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, Chadema walipoteza majimbo yote hayo isipokuwa jimbo la Ukerewe baada ya wananchi wa ukanda huo kumuunga mkono Dr. Magufuli, hali iliyowalazimu Chadema kufikiri kumteua katibu mkuu kutoka ukanda huo wa Magufuli kwa nia ya kuwagawana nngome za ufuasi.
Hata hivyo hali ilivyosasa baada ya Dr. Magufuli kwenda kwenye mapumziko nyumbani kwake mkoani Geita katika safari ya kupitia Mwanza wakati wa kwenda na kurudi, kulengo ya na madhumuni ya Chadema yanaonekana kuyeyuka.